Recent content by aliyetegwa

  1. aliyetegwa

    Nimegundua mme wangu sio mwaminifu

    Ni mme wangu kabisa, nifanye Nini?
  2. aliyetegwa

    Nimegundua mme wangu sio mwaminifu

    Mwana kulitafuta mwana kulipata, nimekutana na charting hiyo ya mtu aliyechukua na kuujaza moyo wangu wote, huo ndio ukweli mchungu juu wa mme wangu Yuko pembeni yangu hapa amelala najiuliza nifanye Nini, nimuulize kumuonyesha najua au nifanye Nini? Ukiona manyoa ujue ashaliwa.
  3. aliyetegwa

    Kati ya Toyota Wish na Toyota IST upi unyama?

    Shukurani mkuu, ukiacha gearbox hakuna kingine cha kujazia nyama kama kwenye muonekano wake na mengine na kama ungekua unachagua wewe ungechagua gari gani?
  4. aliyetegwa

    Natamani kununua Toyota Rush naomba ushauri wenu

    Wakuu Mimi huvutiwa sana na muundo wa gari hii, inaurefu Fulani ata sisi tunaoishi mabonde Kwinama inaonekana kama inafaa hivi. Sina utaalamu sana wa magari ila najiuliza kwanini gari hii sio nyingi sana barabarani wakati inaonekana kua gari nzuri kwa Mimi nisiyekua na ujuzi wa kutosha juu ya...
  5. aliyetegwa

    Kati ya Toyota Wish na Toyota IST upi unyama?

    Nimeshidwa kuedit kichwa Cha habari ila namaanisha Rush Vs IST
  6. aliyetegwa

    Kati ya Toyota Wish na Toyota IST upi unyama?

    Heshima kwenu, Naomba ushauri juu ya uchaguzi wa ununuzi wa Toyota Rush au IST, kiupekee napenda muundo wa Rush imekaa kama gari Fulani yenye hadhi ila sio mjuzi wa magari hata punje, nimeileta kwenu nisaidieni kufanya maamuzi kwa kuzingatia sifa za gari hizo.
  7. aliyetegwa

    Ushauri Wenu Unahitajika : Kuna Mpenzi wangu anatuchanganya mimi na jamaa yangu

    Tatizo limeanzia kwenye heading, sio mpenzi wako ni mpenzi wenu mkuu
  8. aliyetegwa

    Namaliza degree mwaka, huu nataka kuchukua diploma

    Soma udreva, utakuja kunishukuru
  9. aliyetegwa

    Hii ndio sababu ya kutokuwa na hisia kwa mpenzi wako

    Unahoja naomba usikilizwe Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
  10. aliyetegwa

    Naomba ushauri juu ya dawa za kuongeza mwili

    Prof Janabi mbona haeleweki[emoji23][emoji23][emoji23]
  11. aliyetegwa

    Tupeane mbinu: Ni uwekezaji gani wa zao la kudumu ambalo nikilima linaweza kunipa kipato toshelezi?

    Nipo Tabora, nilime miti gani wakuu? Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
  12. aliyetegwa

    Picha: Aliyemtakia hayati Lowassa kuwa Ikulu sio wodi ya wagonjwa akitinga Karimjee kwa mbwembe

    Vyama vyote vikibwa yeyote angeshinda ilikua ni lazima afie madarakani kwa awamu ya tano. Tuliaminishwa Lowasa ndio angefia ikulu pekeake ila amewazika wenzie kibao. Mungu amrehemu na kumpokea mja wake[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Sent from my CPH2239 using JamiiForums...
  13. aliyetegwa

    Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Nimewahi muuguza mgojwa wa Cancer, Mungu awe faraja yako kwa hakika unapitia kipindi kigumu ila kila tunalopambana nalo tunaliweza. Mungu asikuache, Amen.
  14. aliyetegwa

    Biashara ya vifaa vya umeme.

    Wakuu habari, Katika namna ya kuendelea kujitafuta nimekutana na wazo la kufanya biashara ya vifaa vya umeme vya majumbani kama bulbus, wire, main switches, zile pipe za kupitishia nyaya na vingine vinavyo husiana na umeme majumbani. Naomba wanaojua walete michango yao, wagusie mtaji, faida na...
Back
Top Bottom