Recent content by Alimando

  1. A

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    mzaz wako na yeye yuko.kwenye mgao nn mbona untetea wizi
  2. A

    Baada ya mahojiano: Makosa yaliyomnyima Lema dhamana ni haya, kwa mujibu wa Mwanasheria wake

    kama hyo serikal ya ccm unayoitetea unataka ilete umwagikaji wa damu tena arusha wamfunge lema
  3. A

    Unbeleivable!!!Jeshi la polisi kuingilia siasa

    ukiona kijana anashabikia CCM bas anautindio wa ubongo kama jns ulivyo wewe
  4. A

    Askari Auwawa na Majambazi Tazara

    achakuongea pumba wewe angekua ni ndugu yako ndie kapigwa risas ungeongea hvyo?
  5. A

    Kibiti: Polisi watumia helikopta kuzima vurugu!

    Hi thana ya polisi jamii ndiyo inayowaharibia polisi embu iweken pemben mfanyanye kaz watanzania bado hawajaelimika vyakutosha kama wenzetu wa majuu,ingekua nikipnd cha mahita haya yote yasingetokea mmezd siasa polisi
  6. A

    Waraka wa siri wanaswa na Dr. Slaa kutoka CCM, juu ya katiba mpya kuelekea kwa wakuu wa Mikoa,Wilaya

    bila kumwagika damu mambo yataendelea kama yalivyo,maombi yangu kwa Mungu angalau kinuke hata miez 2 tupeane heshma.
  7. A

    Francis Miti: Polisi kuua raia ni ajali kama basi lilivyoua wanataarabu!

    Hayo mauaji hayakufanywa na polisi achakupotosha wa2,yamefanywa na mwanajesh pamoja na wagambo waliokuwa doria ya kuhakiki mipaka.
  8. A

    Watanzania msiipigie kura CHADEMA 2015

    aliyako haina tofauti na ya punda
  9. A

    Mgomo wa madaktari - Updates

    nathan ndugu yangu hujui matatizo ya madakta wengne ni wazazi we2,je ukotayari kuona mzaz wako anashtakiwa? Hapo mwanzo mwisho kama vp ji2pen private.
  10. A

    CCM wajiwekea doa kwa wananchi wa Arumeru Mashariki

    hao magamba hawakuiona hyo barabara kabla hajafa,je wewe ukifa utachimbiwa barabara acha mawozo wa ndege.
  11. A

    Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

    Kwan hawa polisi hamjawazoea kitukidogo oh habari za kiintelegensia zilizotufikia,sijui alshabab nan kawaambia alshabab wanakuja kulipua maandamano ya watanzania kwan 2nabifu nao. Hapa mwanzo mwisho maandamano palele tangu lini nguvu ya uma ikazuiliwa na virungu na mabomu
  12. A

    IGP Said Mwema na hadaa ya uwepo wa amani nchini

    Nakuunga mkono 100% utendaji wa mwema ni mzuri sana ila anaendeshwa sana kisiasa asimamie miguu yake.
  13. A

    Arusha kupandisha Bendera yake?

    Acha uoga **** wewe
Back
Top Bottom