Gari za police zinapita mitaani Arusha zikitangaza marufuku ya maandamano ya chadema kesho kwa mbwembwe na vitisho lakini cha ajabu hawaongelei marufuku ya maandamano ya ccm ambapo mwanzoni walisema zuio linahusiana na mwingiliano wa maombi ya maandamano.
UKWELI WANANCHI WAMEBAKI WANACHEKA NA KUSHANGAA WAKIULIZA"KWANI WANANCHI WAKIANDAMANA KISHA WAWAUE WOTE WATAKUA WANAWATUMIKIA NANI?KWA NINI WASIACHE HOJA ZIJIBIWE NA CHAMA TAWALA??TANGU LINI WAMESAHAU YA KWAMBA WAO NI WALINZI WA RAIA NA MALI ZAO SIO WALINZI WA CHAMA TAWALA???WANANCHI WANASEMA WATATOKA WAJIONEE HUKOHUKO.