Recent content by aligawee

  1. A

    Rais Magufuli aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Flyover ya Ubungo, amtaka RC Paul Makonda achape kazi

    Mheshimiwa Rais sio "wewe" bali ni "wewe kwa niaba yetu sisi" . hata kama ulichukua fomu mwenyewe lakini tulikupigia kura na ulipotangazwa mshindi ukaapa kuilinda kuihifadhi na kuitetea katiba yetu. Mheshimiwa Rais hakuna mahali ndani ya katiba yetu panapotoa ruhusa ya Mkuu wa Mkoa kuvamia kituo...
  2. A

    Tundu Lissu amjibu Dr. Mwakyembe juu ya kauli yake ya TLS, na kumkumbusha majukumu yake

    Unayo haki ya kugombea na hakuna sababu za msingi za kukuzuia. Ni bahati mbaya mimi siyo mwanasheria lakini niwaombe wanasheria wakupe kura za ndiyo ili uwe Rais wao angalau kwa kipindi kimoja
  3. A

    Rais Magufuli: Wasio na vyeti watatoroka wenyewe

    UUUUUUUUWIIIIIII!!!!!!!!......kwishnei......Kwa kumbukumbu ya hotuba hiyo. Naona njia ya Bashite kung'oka ipo wazi
  4. A

    Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

    Afrika kusini....Mheshimiwa Rais anarudi....Hashim Mgandilwa anampokea......kifuatacho!!!!!!!
  5. A

    Nape, usipolichukulia MwanaHALISI hatua utakuwa una chuki binafsi

    Hakika wewe hukutafakari kabla ya kuandika hoja yako. Mwanahalisi wametoa taarifa ya utafiti/uchunguzi wao, wewe bila aibu ati unasema Makonda amekana kuwa hakupata zero. Kwa nini usimshauri Makonda atoe cheti chake ambacho hakina Zero ili kukanusha madai haya na baada ya hapo akawafungulie...
  6. A

    Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    kwamba alikuwa anajifichasio kweli ni urongo wako tu.kwamba kuna safe house ni urongo wa pili,kwamba amekamatwa akitolewa appartment moja kwenda nyingine ni urongo wa tatu.ukweli ni ule alioueleza mwenyewe Mheshimiwa Mbowe na unaopigiwa kelele kwa taratibu zifuatwe.haifai na haina afya kwenye...
  7. A

    Natafuta wabia wa kujenga kuendesha na kuhamisha (build operate transfer)

    Wadau Habari za jamvini. Nina jengo langu maeneo ya kibaha picha ya ndege ambalo ni mahsusi kwa kupangisha. Nimejaaliwa kuongeza vyumba vitano ambavyo vimekamilika tayari kwa kila kitu isipokuwa Madirisha ya aluminium. Ninamtafuta mdau makini (genuine) ambaye atakuwa tayari kuingia mkataba nami...
  8. A

    Jenga endesha hamisha

    Habari wadau. nina nyumba niliijenga picha ya ndege mwaka 2005 na nikaongezea vyumba mwaka 2014 ila nimekwama kwenye kumalizia madirisha ya aluminium. Nyumba hii ninaipangisha na ninakaribisha wawekezaji makini wamalizie na kupokea sehemu ya kodi kwa miaka kadhaa. napatikana 0621107223
  9. A

    Natafuta Receiver ya Strong (SRT 4922)

    nipigie 0773211726 nikuuzie.
  10. A

    Kumfukuza kazi Rished Bade ni kumpiga teke chura?

    Allen Snr pole kwa undorobo. soma nipashe ya leo ujue Bade yu wapi saa hizi. ni kwamba ameshaanza mazungumzo ya awali na polisi na takukuru juu ya kuelekea jelani
  11. A

    Dk. Slaa aliipatia CHADEMA wabunge zaidi ya 30, Lowassa ameipatia CHADEMA wabunge 22

    Patriotic crusader wa kujipanga ni wewe na aliyekurupuka ni wewe uliyeleta uzi wa urongo ukidhani watanzania ni watoto wa chekechea
  12. A

    Dk. Slaa aliipatia CHADEMA wabunge zaidi ya 30, Lowassa ameipatia CHADEMA wabunge 22

    patriotic crusader kama kusoma hujui hata picha huoni? slaa wako walipata wabunge 22 tu na wabunge wa viti maalum 26 na Lowassa amepata wabunge 34 na wabunge wa viti maalum 36 na akawasaidia CUF wakapata wabunge wengi bara. sasa hapo nani zaidi?
  13. A

    Katibu wa UVCCM wilaya ya Mbulu ateuliwa mbunge viti maalum CHADEMA

    kat.ph sema aliyekuwa katibu wa uvccm na baadaye akahamia chadema
  14. A

    Freeman Mbowe, kwanini una mlaghai Lowassa?

    Msemaji Ukweli acha uchonganishi wako. Mheshimiwa Mbowe kamwe hamlaghai Mheshimiwa Lowassa. Hebu tueleze ni kwa nini jeshi la polisi lilikwenda kuwakamata vijana waliokuwa wakijumuisha idadi ya kura wale wa chadema na wale wa LHRC lakini ikawaacha wale wa CCM wakiendelea na majumuisho. Sio siri...
  15. A

    Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Malaika Mkuu muulize mbona aliposoma taarifa au ripoti ya kamati alitamka kuwa waziri mkuu hana kosa la kijinai ila anapaswa kujipima na kuwajibika kwa waliyofanya wa chini yake? pia muulize mbona richmond aliyodai ni duka la steshenari leo imekuwa symbion na inalipwa mabilioni na serikali? na...
Back
Top Bottom