Recent content by Alidekyi

  1. Alidekyi

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata vibali vya kusafirisha nyama nje ya nchi?

    Habari za kwenu wana jamii nauliza kama kuna mtu anajua nawezaje pata vibali vya kuexport nyama nje ya Tz naomba msaada tafadhali.
  2. Alidekyi

    JamiiForums Tanzania Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

    Hapo yametumika mawe tu sijaona hata bunduki nadhani tatizo liko akilini sio silaha
  3. Alidekyi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo imesema imekusudia kutoa ajira Milioni 3 Kwa vijana

    Kwenye mpango huu wa BBT nafasi 824 tu nchi nzima ndio zimetoka kuna wilaya zimetoa watu 20 na wengine chini
  4. Alidekyi

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Kampuni za Mfukoni-Briefcase Corporations

    Mkuu nikipata business name pekee inaweza kufanya kazi za kibiashara zote muhimu?
  5. Alidekyi

    JamiiForums Tanzania Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

    Dah mwalimu mkude Forest Hill 94-97 yule mzee sijui atakuwa hai
  6. Alidekyi

    JamiiForums Tanzania Nataka nizalishe kuku wa kienyeji laki moja ndani ya miaka mitatu

    Unaweza kabisa sky is a limit!go for it!
  7. Alidekyi

    JamiiForums Tanzania Kukiri Waziri Mkuu wa UK kwamba yeye ni Zayuni "la kutupwa"

    Hhahhahahahha
  8. Alidekyi

    JamiiForums Tanzania Wavuvi: Hii habari ya Sangara/Sato kuhifadhiwa na chloroform ni ya kweli

    Mv Victoria ilishazama kumbe?
  9. Alidekyi

    JamiiForums Tanzania Kuna Wanyama wametajwa hapa sijui wanapatikana Nchi gani

    Halafu isitoshe mkuu we sio Mwana wa Israel hayo waliambiwa Wana wa Israel!
  10. Alidekyi

    JamiiForums Tanzania Nimetoka Dar es Salaam jana saa 10 alfajiri nimefika leo saa mbili asubuhi

    Route ipi ulipitia mzee Uganda Elugu ama Kenya kupitia Ilemi?but zote bado mbali Sana,anyway ukiwa maeneo ya Ramciel pub useme tukutane mzee!
  11. Alidekyi

    JamiiForums Tanzania Kesho nina safari ya kwenda Kampala Uganda, dua na maombi yenu

    Namirembe Rd opposite na centeniary bank iko hotel moja nzuri inaitwa lusam bei cheap utapata rum Kali kwa 50k ya Uganda pia ni karibu sana na maeneo yenye mambo yako.
  12. Alidekyi

    JamiiForums Tanzania Uzi special: Mtongoze hapa ki-utu uzima mkamalizane live

    Alieko Bukoba jamani! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom