Mbona watu wanaongelea race wewe unaweka na dini,iinamaana kulikuwa hakuna wazungu au wahindi wenye dini za kiislam au kikristo au wapagani?kila kitu ukikiangalia kwenye mitizamo yako hiyo basi hatuendi kokote.
Kwa hali ilivyofika sasa hawa jamaa labda walazimishe tu kubadili matokeo, maana habari za matokeo zitakuwa nje mapema sana. Tume tutasubiri tu watangaze kama taratibu zao ilo kuchakachua kwa kutangaza sasa hivi siyo kitu rahisi.
Maana hii ni zama za communication
Haya mambo ya kuunganishwa kwenye uduma bila kuimba alafu unapewa masharti ya kujitoa ni wizi kabisa na hapo unakuwa umekatwa pesa bila idhini yako.
Alafu ukipiga simu customer care wadada wanaviburi hao.
Mm nililiwa kama elfu 3 nikawapigia eti wanajibu hawajui aliyeniunganisha na hiyo uduma...
Yani waafrika itachukua miaka 1000 kuendelea,
yani viongozi wa EAC wanashindwa kumwambia Peter ukweli kuwa atoke tu maana anasababisha
Maafa kwa tamaa zake.
Sasa kina Makamba na TCRA wamekaa kimya tu hawa jamaa wanazidi kutuibia,yani hamna company zenye afadhari kwenye simu.
ndio wanafanya tuhisi kuwa wanapewaga bahasha ndio maana hawafuatilii ata tukiibiwa.
Jamani leo nimenunua umeme wa LUKU kwa mara ya kwanza tangu mwezi wa May uanze,ninachofahamu ni utaratibu wa kuwa ukinunua umeme mara ya kwanza kwa mwezi uwa kuna tozo la kama Tsh6700 kwaajili ya services charge na umeme vijijini na VAT (other charges).
Sasa leo nimenunua umeme wa elfu 20000...
Wewe akili yako ndio inashida basi uwepo wa bandari binafsi hauwezi ukawa ni kigezo cha ukwepaji, yani ata MZA kuna watu wana bandari zao cha muhimu ni maafisa wa serikali kuwa hapo kwaajili ya kukusanya kodi.
Ni kama maeneo ya migodi mathalani geita gold mine ndege zitatua ndani ya mgodi...
Wewe ebu hacheni kuwa so negative na mambo haya ,ebu njoo mza mbona kuna matajiri wengi wana bandari zao, tena wanasafirisha mizigo toko/kwenda na nchi za jirani.Muhimu ni maafisa wa serikali kuwepo tu kukagua na kutoza ushuru stahiki
Tena Voda wanatabia ya kukata pesa sana bila taarifa Mathalani una bundle labda ya cheka alafu una salio lingine kwenye simu bundle ikiisha wala hawakupi taarifa wanakatata na pesa yako ikiiasha ndio wanakwambia umemaliza salio.
Jamaa ni ma jambazi kabisa maana wanachukua kwa nguvu alafu mbali na malalamiko ya wateja TCRA wapo kimya tu.
mm majuzi nilikuwa nina unlimited bundle lakini mbona nilikuta nimekatwa pesa nilipowapigia wakadai eti nilijiunga na J millionea auto, nikawambia sikuwahi...
Mzee hajui kateuliwa kulinda maslahi ya Chama na siyo kufuata professionalism yake,
akaulize wenzake kina Tido walifuata profesprofessionalism wakatajwa kuwa ni mojawapo wa watu waliosaidia kupunguza kura za Chama.
Mzee waachie wenyewe wamalizie maana matokeo ya kura ya maoni ya katiba yakija...
ACT wanatafuta kick kupitia chadema ,naona wao mashambulizi yote ni kwa chadema. Yap CCM well done kwa move mliyofanya maybe itasaidia kidogo but for a short time.
Its disgrace for such young great politician to turn against such promising movt of opposition parties.But true heroes they are...
Hizi issue za kuibiwa alafu eti tunaona solution ni kuhama mitandao sidhani kama ni Sawa, sababu namba za simu kwa sisi wengine ni kama permanent address,nna mwisho wa siku inabidi tu deserve kupata huduma tunayoaidiwa .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.