Kama walikulinda sasa wamekuwa kero? Watunze hadi Mungu awaite bhana. KKS huwa wana tabia ya kuwatunza hadi kufa, by the way
mimi ninao 2 wana kama 12 years, bado nawatunza kama mbwa wa maana, enzi wakiwa fiti nilikuwa naweza kuacha hata milango wazi, vibaka nilikuwa naskia kwa jirani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.