Vodacom acheni kuongopea wateja wenu

Vodacom acheni kuongopea wateja wenu

Ali Mazroon

Member
Joined
Mar 8, 2015
Posts
25
Reaction score
14
Nimenunua unlimited bundle ya siku sasa baada ya ku download data vodacom wamenitumia msg hii,You have reached 700MB. Continue surfing at lower speed till expiry date. Monthly UNLIMITED internet bundle at Tsh. 25,000. To buy, dial *149*01#.
Sasa nini maana ya kutwambia wateja kuwa mna vifurushi vya unlimited?
Huu ni wizi mwingine ambao wizara na TCRA zinapaswa ziuone
 
voda ni wezi.wanagharama kuliko mitandao yote
 
Vodacom kazi ni kwako kuibiwa
Lakini hapa wakina Makamba (waziri ) na TCRA wako wapi ili Kuhakikisha haki yetu sisi wateja inalindwa au inapatikana.
Maana huu ni wizi wa ki nguvu hauna u tofauti na jambazi anayechukua chako kwa mabavu.
 
Na siku nyingine ilitokea Nimejiunga na unlimited bundle ya siku na kwa siku nzima Internet ilikuwa imekata lakini muda ulupofika wa bundle ku expire nilipokea msg ya kunitaarifu kuwa bundle ime expire sasa inamaana ata wao kufidia hayo masaa ambapo kulikuwa na shida ya network hakuna.
Alafu wana thread yao hapa jf tukiwauliza maswali ata hawajibu sijui moderator kwa nn hawaitoi tu
 
Yaan utafikiri hakuna waziri wa mawasiliano nchini, walivyopunguza bundle January Makamba akasema amepata taarifa nafikir alikua nje ya nchi akasema atalishughulikia naona bado atakua hajarudi mmi nikafikiria swala la hii mitandao huwa wanakaa pamoja na kujadiliana kuhusu kumnyonya mtanzania ndio maana mmoja akiunguza bas ni wote na hiyo imeanza toka mda mrefu sasa cjui na hili mheshimiwa makamba hakuliona? au kisa anawekewa vocha na wizara? Hawa viongoz hawako serious kabisa na huku anataka aombee uraisi bora nisipige kura.
hiyo tisa jana nikaweka salio voda ili nijiunge unllimited sasa najiunga tu wananiambia salio halitoshi kuangalia salio wamekata sh 50 nikafikiria niwapigie nikakumbuka majibu yao ya kipumbavu eti utakuwa umejiunga na huduma fulani ikabid nipotezee tu. vodacom tanzania mnakera kupita kiasi sijui kiongozi gani mwenye huu mtandao ambae hata wanafanya makosa inaonekana poa tu.
 
Nimenunua unlimited bundle ya siku sasa baada ya ku download data vodacom wamenitumia msg hii,You have reached 700MB. Continue surfing at lower speed till expiry date. Monthly UNLIMITED internet bundle at Tsh. 25,000. To buy, dial *149*01#.
Sasa nini maana ya kutwambia wateja kuwa mna vifurushi vya unlimited?
Huu ni wizi mwingine ambao wizara na TCRA zinapaswa ziuone

Nafuu ya hao VODA ambao hata hicho kifurushi hiyo 700MB zikiisha wanakupa uwezo wa kuendelea kutumia Internet kwa speed ndogo lakini TIGO ukinunua kifurushi cha UNLIMITED cha Tsh. 1,000/= cha siku MB 700 wanazotoa zikiisha na ndio inakuwa mwisho kwa wewe kutumia internet hadi ununue kifurushi kingine. sasa kati ya hao VODA na TIGO ni kampuni ipi ambayo ndio wezi hasa juu ya hoja yako?
 
Dawa ya Voda ni kuwahama kabisa, watajirekebusha. Kwan kulalamika pekee hakutoshi. Siunajua mwaka wa uchaguzi ndiyo wanatafuta za kuwafadhili na kuwalinda serikalini
 
Nafuu ya hao VODA ambao hata hicho kifurushi hiyo 700MB zikiisha wanakupa uwezo wa kuendelea kutumia Internet kwa speed ndogo lakini TIGO ukinunua kifurushi cha UNLIMITED cha Tsh. 1,000/= cha siku MB 700 wanazotoa zikiisha na ndio inakuwa mwisho kwa wewe kutumia internet hadi ununue kifurushi kingine. sasa kati ya hao VODA na TIGO ni kampuni ipi ambayo ndio wezi hasa juu ya hoja yako?
Mm sijawahi kuwa mteja wa tigo so wizi wa tigo hauwezi kuhalarisha kuwa na wizi wa vodacom ni sahihi, labda u niambie nn maana ya unlimited bundle hapo ndio tuanzie,
Lakini hoja yangu hapa inamaana wizara na tcra hawayaoni haya tunavyodhurumiwa na ma kampuni ya simu?
 
Voda nilishagana achana nao kitambo kwenye internet
 
Hizi issue za kuibiwa alafu eti tunaona solution ni kuhama mitandao sidhani kama ni Sawa, sababu namba za simu kwa sisi wengine ni kama permanent address,nna mwisho wa siku inabidi tu deserve kupata huduma tunayoaidiwa .
 
Back
Top Bottom