Jamani wanachofanya Vodacom sasa ni unyang'anyi

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,940
Reaction score
7,847
Eti wanakuwekea games bila ya ridhaa yako kwa shs 500 kama hupendi ndio wewe utume neno UNSUB kwenye namba 15362. Cha ajabu licha ya usumbufu ukituma huo ujumbe message haiendi. Hii ni mara ya pili kwangu kipindi cha wiki mbili. Sasa jamani huu ukoloni na ufisadi wa simu za mkononi tufanyeje wandugu? Simu yako,..licha ya kusumbuliwa kwa simu yako kugeuzwa ubao wa matangazo bila kulipwa chochote pia unanyang'anywa hela yako. Huu kama sio ujambazi ni nini? TCRA tafadhali fanyeni kazi yenu wananchi sasa tumechoka na hii kero.
 
Mbona nchi nzima tumewekwa kabali na mafisadi!!
 
Wewe unasema hiyo, ela zenyewe ukiweka unaambiwa waweza kopa. Ukitaka kukopa unaambiwa baada ya miezi sita. Wamiliki ni wale wale. Tangnyika yetu.
 
Achana na hiyo kitu kabisa haifai hata kidogo,hamia mtandao mwingine, mbona ipo mingi hao ni wezi wa mfukoni.
 
Eti wanakuwekea games bila ya ridhaa yako kwa shs 500 kama hupendi ndio wewe utume neno UNSUB kwenye namba 15362. Cha ajabu licha ya usumbufu ukituma huo ujumbe message haiendi. Hii ni mara ya pili kwangu kipindi cha wiki mbili. Sasa jamani huu ukoloni na ufisadi wa simu za mkononi tufanyeje wandugu? Simu yako,..licha ya kusumbuliwa kwa simu yako kugeuzwa ubao wa matangazo bila kulipwa chochote pia unanyang'anywa hela yako. Huu kama sio ujambazi ni nini? TCRA tafadhali fanyeni kazi yenu wananchi sasa tumechoka na hii kero.
Mkereketwa pole sana.Huku wajinga ndiyo waliwao..lakini karibu kwny soko huria,makampuni ya simu yapo mengi.Fanya maamuzi tu
 
Washenzi sana hawa nimewadhurumu mkopo wao wa Mpawa na sina mpango wa kuwalipa laki 5 zao wamenifungia nipige tafu hahaha na siihitaji hata hiyo.
 
matangazo nikero kama sim haipatikani nifaamishe mapema nasio kunipotezea mda kwakunitangulizia matangazo
 
Kusema kweli huu ni wizi dhahili. watanzania tunanyonywa kwa ignorance tu. TCRA TCRA TCRA tuokoeni
 
Eti wanakuwekea games bila ya ridhaa yako kwa shs 500 kama hupendi ndio wewe utume neno UNSUB kwenye namba 15362. Cha ajabu licha ya usumbufu ukituma huo ujumbe message haiendi. Hii ni mara ya pili kwangu kipindi cha wiki mbili. Sasa jamani huu ukoloni na ufisadi wa simu za mkononi tufanyeje wandugu? Simu yako,..licha ya kusumbuliwa kwa simu yako kugeuzwa ubao wa matangazo bila kulipwa chochote pia unanyang'anywa hela yako. Huu kama sio ujambazi ni nini? TCRA tafadhali fanyeni kazi yenu wananchi sasa tumechoka na hii kero.

Bado tu uko huko??
 
Hamia Airtel.......ndoooooroooobo we..........
 
Mkereketwa pole sana.Huku wajinga ndiyo waliwao..lakini karibu kwny soko huria,makampuni ya simu yapo mengi.Fanya maamuzi tu
Aiseeh. Nashukuru kwa kudhani unaniamsha usingizini. Nina line zaidi ya voda ila hawa voda ndio walaku zaidi. Wanakuibia mchana jua utosini.
 
Haya mambo ya kuunganishwa kwenye uduma bila kuimba alafu unapewa masharti ya kujitoa ni wizi kabisa na hapo unakuwa umekatwa pesa bila idhini yako.
Alafu ukipiga simu customer care wadada wanaviburi hao.
Mm nililiwa kama elfu 3 nikawapigia eti wanajibu hawajui aliyeniunganisha na hiyo uduma nijitoe tu.
TCRA na wao watakuwa wanapewa vibaasha tu maana sidhani kama hawaujui mchezo huu
 
Back
Top Bottom