Recent content by Alhabaad

  1. A

    JamiiForums Tanzania Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    Kwani wanaovaa baraghashia si watanzania?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Picha: Mikutano Muleba - Heche aliyoyaacha Bukoba moto waiwakia CCM

    Hivi chama ambacho mwenyekitu wake anaendesha danguro kinaweza kuwa chama cha Mungu!!!!!?
  3. A

    JamiiForums Tanzania CUF yapeleka wafuasi Arusha na mabasi kutoka Dar

    Engelikuwa mgala nadhani uprof ungelikuwa umetimia!!!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Jee ingekuwa ni wafuasi wa CDM wamevunja uzio (ribbon) ya Polisi pale Kidongo Chekundu?

    Mkuu na vp yule Mungu aliyeuwawa msalabani na wanaadamu ambao kawaumba yy mwenyewe? Yaani Mungu kaumba wanaadamu alafu wanaadamu wakamgeukia Mungu wao aliyewaumba wakampiga na kumuua msalabali!!!!?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Dk. Bana awajia juu CHADEMA/CUF kuhusu M4C & V4C

    Mkuu kwani aliyeanzisha hizi harakati ni chama gani kati ya CUF na CHADEMA?nakusudia kabla ya M4C na V4C!!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Chadema yabeza V4C ya CUF

    Mtwmelwa ni nabii?kwamba akisema chochote ni wahyi?alafu mnajiita GT!!! Nyinyi mliwachafua CUF mlitarajia wanyamaze!!!?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Chadema yabeza V4C ya CUF

    Na jwa akili yako mbovu umeamini hii propaganda!!!?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mbaguzi Ismail Jussa Anapozidi kufunguka..

    Jusa anawanyima usingizi eeh!!! Hiyo post si ya Jussa ni ya Salma Said wa Mwananchi msikurupuke!!!!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kauli za Slaa na mauaji ya raia wasio na hatia

    Sasa mtu ambaye kaiba mke wa mtu alfu akazini nae mpaka akamzalisha unategemea atakuwa na kheri!!!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mwandishi mwingine wa Channel Ten ashambuliwa na vijana wa UVCCM huko Bububu, Zanzibar

    Mtoto wa kiume risasi imempata ktk kordani(mabumbu).
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mwandishi mwingine wa Channel Ten ashambuliwa na vijana wa UVCCM huko Bububu, Zanzibar

    Uchaguzi Bububu Kuna mtoto wa miaka 15 amepigwa risasi sehem za siri na kufariki
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwa nguvu hii ya CHADEMA, Mwalimu Nyerere leo angekuwa HAI, angeendelea kukumbatia KADI ya CCM?

    Engelikuwa pamoja na msimamo wa Maaskofu!
  13. A

    JamiiForums Tanzania POLISI Mwanza Wapiga STOP Mkutano wa Hadhara wa CHAGULANI: Hofu ya makundi yatanda CDM

    Wacheni unafiq chadema!cuf walivowatimua akiba Hamad Rashid mliropoka kweli hapa leo kisahanu kimerudi kwenu mnatetea!!
  14. A

    JamiiForums Tanzania CUF yasisitiza zanzibar kuwa na muungano wa mkataba

    Kwani ni nani anang'ang'ania Muungano!?ss tumesema na tunaendelea kusema wazi wazi hatutaki Muungano.nyinyi ndio mkaleta sheria eti oooh tuujadili kwa kuboresha si kuvunja tukawaambia sawa.ss sisi tumetafuta njia nyengine ambayo tutauvunja muungano badil ndio tukaja na Muungano wa mkataba ili...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mbunge CUF awashukia wenzake wa CCM

Back
Top Bottom