Mwandishi mwingine wa Channel Ten ashambuliwa na vijana wa UVCCM huko Bububu, Zanzibar

Siku zote Mungu si Mnafiki, Si Muongo na hana upendeleo kwa wafanyao maovu, huu ni wakati sasa Mwenyezi Mungu Muumba wa Ardhi na Mbingu anaonyesha nguvu zake kwa kuuonyesha umma Nani chanzo cha vurugu na uvunjifu wa amani katika nchi hii. na hii ni dalili tosha CCM inajiandaa kuwa chama cha Upinzani ndo maana wanapingana na ukweli kila kukicha.
 
Ninachouliza ni hiki: Hivi CUF ni chama cha upinzani cha ukweli? Tuone jinsi watakavyo-react katika hili. Just imagine ingekuwa ni vijana wa CDM ndiyo wamemshambulia huyo mwandishi.


Cuf si chama cha upinzani na uhitaji kuuliza Hilo ila hapa cuf imeingiaje? Varangati si polisi, uvccm, mtoto na mwandishi? Nadhani Kati yetu kuna ambae hajaelewa vizuri msaada kwenye tuta hapo watu mliokuwa kwenye tukio.
 
Chadema lazima kifutwe kimeamurisha polisi kupiga risasi za moto kwa wananchi wasio na hatia,kinahatarisha amani ya nchi.!
 
Hapa ni pasafi na tusikie kauli ya huyu Tendwa sasa!

Mbona mme msahau muenezi?? Tamko liko tayari bado kutolewa tuu..nape atasema amesikitishwa kweli na kulaani mauaji ya mtoto na kumjeruhi mwandishi lililo fanywa na CDM (nimenukuu) kwa maswali na maelezo zaidi muulizeni yeye



By Raia Fulani
Tendwa na atoe kauli ya kukifuta chama cha mapinduzi sasa
 
Back
Top Bottom