Kwa nguvu hii ya CHADEMA, Mwalimu Nyerere leo angekuwa HAI, angeendelea kukumbatia KADI ya CCM?

Mkuu Shine unadhani angehamia wapi? DPP. TLP, NCCR, au CHADEMA?

Vipi tuhuma kwamba Mwalimu ni 'mwanzilishi' wa NCCR?

Is CCM headed for State House exit in 2015?

By Correspondent

13th May 2012

Tanzania is a potentially prosperous country blessed with vast resources; the country is the third largest producer of gold in Africa. We also have diamonds, tanzanite, untapped reserves of oil and gas, tourist attractions including Africa's highest point Mount Kilimanjaro and millions of acres of uncultivated land.
These resources have not generated the required momentum for progress as the country has been a victim of both the past and the present.
People entrusted CCM with power throughout the post-independence decade and power has been changing hands but nothing else has changed. The rich are getting richer, the poor are getting poorer, the gap is widening. Then it would be justifiably okay for people to look elsewhere.
CCM and its government are seemingly running out of ideas. The party now is walking into the lake and surprisingly, they have kept walking.
What JK is doing in his failed attempt to steady the ship, is to paper over the cracks without addressing the main issues that have led to this unfortunate and worrying state of affairs.
JK's recent chopping and changing of his cabinet saw the injection of new blood with the likes of Professor Sospeter Muhongo and Dr. William Mgimwa, drafted in to take the seats vacated by Mustapha Mkulo, William Ngeleja, etc.
These changes came hot on the heels of one of the most heated parliamentary debates in which legislators, both from CCM and the opposition put their attendance allowance differences aside - albeit temporarily - to deal with corrupt ministers.
There are disturbing revelations from the CAG report that ministers with morals of a hyena had turned public offices into goldmines leaving the country's economy in pretty poor shape and the government treasury nearly in the red.
On May Day occasion, JK with his customary politeness and trade mark smile proclaimed that he was pleased with the hot debate in Parliament, insisting that it was he who emphasised the need to have CAG reports deliberated upon in the House.
Forgive me if I'm wrong but I opt to disagree. There were growing whispers that JK's response was lukewarm and had actually tagged the heated debate as a passing wind and that it was only a matter of time and things would cool down.
Sadly for him, what he hadn't realised was the fact that he wasn't dealing with ordinary wind but a hurricane. What happened in Parliament must have slowed JK's heart beats. Besides- with Zitto Kabwe's petition gaining momentum and threatening to put JK's most trusted lieutenant Mizengo Pinda on a knife edge, a change was not only needed but inevitable.
JK's REACTIVE rather than PROACTIVE leadership style is the making of CCM's downfall. Since the departure of Mwalimu Nyerere, CCM are sorely missing a leader with the awareness and anticipation of a cat capable of foreseeing and acting precociously to avert crisis.
It came as no surprise to me when I heard that Dr Mponda and his deputy were among the casualties as these two were at the epicenter of the doctors' crisis and the country's health sector had deteriorated beyond description.
This worrying state of affairs culminated into the Loliondo craze.
News that there was an alternative cure in Loliondo exploded like a hand grenade triggering mass exodus with patients descending on Loliondo for treatment the way bees descend on flowers for nectar. Things went from bad to worse when patients scrambled out of hospital beds to Loliondo, resulting in a humanitarian catastrophe. I was nearly coming to tears when I learnt that even ministers perceived Loliondo as a solution rather than a problem and encouraged people to go there, after they went there themselves. The presence of high profile leaders in Loliondo must have misled the common man to believe the cure actually works although it is common knowledge that there was no diagnosis before treatment and the patients received the same dose irrespective of their varying illnesses. This prompted conspiracy theorists to suggest these leaders were never sick–they used Loliondo as a ploy to ease patient congestion in government hospitals and sadly I have come to agree with them. The undeniable truth is that when these ministers fall sick they get flown out of the country to INDIA or other countries where the health sector is given the attention it deserve. So Loliondo was not as medically relevant to the ministers as it was to the common people.
CCM political ideals have long been thrown overboard and the survival of the fittest is the new approach. Throwing money around during elections as if they own money printing machines is the name of the game.
The war against poverty, ignorance and disease is a thing of the past. Their gospel right now is "Money fixes everything" and this is their undoing. Personal gains outstrip national interests.
There are also growing divisions among the members of the elite and their differences are irreconcilable, fatal at worst. Consequently, the cohesion they had enjoyed for most of the post-colonial decades went out the window like a departing spirit. Apparently no one in CCM ranks can fix the situation. The mighty CCM that was once roaring like a lion is now left to look like a frightened rabbit.
Nyerere is long gone, whose tactics appeared to have brought a semblance of order in 1995 in the build up to the country's first multiparty elections.
In 1995 Mrema, who is now past his expiry date was used by Nyerere as a decoy without the knowledge of unsuspecting CCM members when Mrema crossed the border to the opposition.
Nyerere's idea was to create a counterfeit but seemingly strong opposition party in NCCR- Mageuzi and subsequently use it to bring all the influential characters and presidential hopefuls like Malecela under his armpit and handpicked then "Mr. Clean" to be the eventual CCM candidate with startling ease.
He just told them that "CCM was not his mother," in which case he could abandon it if he was convinced it was going up a blind alley in leadership, especially the choice of a presidential candidate. His statement caused a tremor in the central committee meeting and John Malecela was forced to withdraw his candidature, and he never recovered from the shock.
Mwalimu even went an extra mile by deploying his son Makongoro who joined NCCR to add weight to his statement and make it look like he too was on his way if CCM did not dance to his tune. The rest was just a formality. In the end, Mrema felt hard, done by and his "Nyerere has betrayed me" whine confirmed this.
All along Mrema was blindly made to believe Nyerere was on his side–but he wasn't and didn't care and he campaigned for his "Mr Clean" in State House and NCCR was as short- lived as paper fire (Makongoro, for reasons best known to himself is back in CCM, while Mrema sneaked out to TLP. Mabere Marando manufactured his exit under the guise of helping CHADEMA). The only remnant of the struggling NCCR James Mbatia is now a nominated MP. How things change and how fast things change!
The Lowassa factor
Edward Lowassa who has widely been regarded as instrumental in the installation of the new speed reign remains a powerful influence in the party although the Richmond scandal still hangs on his neck like a curse and his relationship with his former boss has somewhat soured after the ill-advised skin shedding campaign.
Lowassa is one of the divisive figures in the ruling party and his presidential ambitions give him a strong desire to go to any length to get his way. He has been pointing an accusing figure at the government he once worked for and using the church as his platform. He is now portraying himself as a bright and forward-thinking politician raising questions over the way JK's government is tacking unemployment.
Lowassa is racking his brains to have the Richmond thing shaken off–but if Mwakyembe's report is anything to go by, the deadly Richmond scandal had Lowassa's finger prints all over it.
Nevertheless, Lowassa has two obsessions: MONEY and POWER, State House power if you like- and he is not going to let go of it without a fight but his tactics are proving detrimental, and will surely leave CCM in tatters come 2015.
Things went from bad to worse when James Millya, the former Arusha CCM youth secretary turned his back on the party and joined their fiercest foes, CHADEMA opening floodgate to large defections from the ruling party. CHADEMA is now attracting CCM members the way a magnet attracts pins. From what I have seen in the recent past, CCM is now collapsing like a pack of cards and unless something is done to clean up the mess, CHADEMA are in their way to State House.
As for JK's new cabinet, this is not the first time JK has shuffled and reshuffled his cabinet and his cabinet reshuffle looked like an accident waiting to happen. If you asked me whether this new cabinet is going to be an exception that proves the rule, my answer is an emphatic NO.
The writer is based in Lusaka, Zambia and can be reached via biasharadennis@yahoo.com also on face book.

SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY
 
Labda kwakurahisisha mambo ni kuwa vyama vingi vilivyoundwa baada ya AZIMIO la Zanzibar, vilipewa baraka na Mzee Nyerere.

Kwakuwa shinikizo la kimataifa lilikuwa uwepo wigo mpana wa demokrasia kwa maana ya siasa ya vyama vingi, na kwakuwa kura ya maoni kukubali au lilataa uwepo wa vyama vingi ilileta hajibu HASI, Mwalimu alionelea vema kushawishi baadhi ya wanaccm tena watiifu waanzishe vyama vya siasa tena kwa kuwapa nyenzo na mbinu.

Hii ndio mpaka leo inamfanya Mwalimu Nyerere kuonekana duniani kama kiongozi wa pekee na wamfano hata kwa dunia ijayo leo, kesho na keshokutwa.

Ninadra sana kwa kiongozi wa chama TAWALA kuruhusu uwepo mfumo wa vyama vingi japokuwa wananchi wamekataa na zaidi kuviunga mkono vyama hivyo kwa FEDHA na maarifa.

Ndiomaana leo tunamfanya ni Mwenye Heri, na tayari kuelekea Mtakatifu.
 
Nguvu ya mabadiliko inayoongozwa na chama kilicho moyoni mwa wazalendo wa kweli wa nchi hii inanipa hofu kuamini kama mzee wangu Mwalimu Julius K. Nyerere LEO hii angekuwa hai angeendelea kumiliki kadi ya kisiasa ya kijani yenye alama ya JEMBE na NYUNDO.

Alama hizo muhimu katika historia na siasa za nchi hii, zilikuwa ni uashirio wa mambo makuu mawili, JEMBE= Mkulima, NYUNDO=Mfanyakazi. Lakini leo ni kinyume kabisa tena kabisa, JEMBE = Vyombo vya Dola, NYUNDO = Risasi/mabomu.

Hali ya kisiasa ndani ya ccm imekuwa ya mikingamo, huku wimbi la ufisadi nchini likishamiri kila uchao, hata wale wahafidhina wa chama wamegeuka kuwa wakwasi wa chama hiki mufilisi. Sasa hivi dhana ya kuitwa chama cha siasa imetoweka na sasa kinajieleza bila kuuliza kuwa ni GENGE la walanguzi wa raslimali za umma.

Kupitia chama hiki, watu wanafanya jambo lolote watakalo, hata wakiitaka roho yako leo hii wanapata tu. Wameweza kupakia twiga kwenye ndege, wameweza kuza madini, wamehongwa suti, wamehonga vyeo nyumba ndogo, wamejiuzia migodi, wamejipa tenda.

Yani ukiwa ccm hakuna unalolishindwa, wanafikiria kama kuna japo hata uwezekano wa kuitoa roho ya Mtume s.w au Yesu Kristu ilimradi kuondoa dhana ya dhambi kwako.

Nikiangalia utawala wa Mwalimu Nyerere najiona mimi nimkosaji mkubwa ninaestahili adhabu mbele ya ghadhabu ya mungu, kwanini haya yanatokea huku watanzania tukiacha hawa mumiani waendelee kuliangamiza taifa?

Rais wa kwanza Mwl. Nyerere pamoja na kutokuwepo rasilimali nyingi wakati huo alijenga kiwanda karibia kila mkoa. Alijenga nyumba za serikali ambazo wezi Mkapa na Magufuli wamekuja kuuza, alijenga bandari Dar, Tanga, Mtwara, Mwanza, ALIONGOZA SERIKALI YENYE NIDHAMU AMBAYO RUSHWA ILIKUWA NI MWIKO. Alileta umoja wa kitaifa kwa kuongoza serikali bila kujali dini wala. Wakati wake elimu ilikuwa inatolewa bure tena kwa ubora wa hali ya juu. Wakati wake shule zilikuwa na vifaa na waalimu. Wakati wa Kikwete elimu katika shule za msingi na sekondari imekuwa na mzaha tu. Si hayo tu bali mwalimu alijenga nidhamu ya chama, kiasi kwamba kila mtanzania alijivunia kuitwa mwanaccm.

Ikumbukwe kuwa enzi hizo taifa lilikuwa likitegemea pamba, mkonge na tumbaku tu kujipatia fedha za kigeni, lakini kwa hekima za viongozi wa enzi hizo chini ya Mwalimu, waliwahudumia watanzia bila mawaa.

Hivi leo mwalimu angekuwepo, angeendelea kukumbatia kadi ya ccm?
Nadhani jibu unalo. Mpaka leo Mjane wa baba wa Taifa , MARIA NYERERE ni CCM damu, ingeshindikana vipi kwa mwasisi mwenyewe wa Chama?
 
kwa stahili hii mwalimu asingeweza vumilia haya yote ccm inayoyafanya hakika angelikuwa amekwisha choma kadi ya ccm muda mrefu na baadhi ya viongozi wangekuwa either wako mahakamani au wamekwisha ikimbia nchi muda mrefu lakini naamini hata muda wao unahesabika kwa nguvuhii ya m4c kwani inawanyima usingizi kila kukicha na mikakati yao yote ilikwisha naswa kitambo

naomba kuwsilisha
 
mi naona kuna mawili hapa:
either kama angekuwepo mpaka saiz basi angeshawasulubishia mbali huko wale wote wanaoendesha chama kama ni cha kifamilia hivyo ingeifanya ccm kuzidi kuwa imara mpaka saiz na labda kusingekuwa na upinzani mkubwa kama wa sasa...
AU: angeshasimama jukwaani yeye mwenyewe kumnadi Dr. Slaa kwa mkono wake kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya CDM....
 
Ni maono mazuri sana, lakini naamini vuguvugu la mageuzi ya dunia hii kwa kila nyanja vingemfanya kufuata palipo na siasa ya kweli kuliko ccm penye ghiriba, kuibadili ccm iende kiasa bila shaka angekabiliwa na upinzani na kwa heshima na umri angeamua kujitulizia chadema tu
 
Kama sikosei mtazamo na msimamo wa Nyerere, mpaka anaaga dunia, ulikuwa ni kwamba kiongozi bora wa nchi hii Lazima atoke CCM pamoja na kukiri wazi kuwa CCM ilikuwa inanuka Rushwa.

Mkuu Tata, Kwa kuwa kipindi kile, kulikuwa na angalu tatizo moja la rushwa..lakini ukijaribu kuangalia kwa sasa, Ufisadi, Dhuluma, Ubinafsi, Urafiki unatangulizwa kwanza...nadhani kwa uelewa wangu mdogo nilivyomwelewa Hayati Mwl JK Nyerere alikuwa na maana ya

1. Kiongozi bora atatoka CCM kwa kuwa tayari wao
wanauzoefu fulani katika uongozi wa nchi, kama
tukiitafsiri kauli ile kwa namna hiyo haikuwa na maana
ya kuanzisha mfumo wa vyama vingi, kwani tayari
Kiongozi bora asingetoka huko(katika vyama vingine
tofauti na CCM).

2. CCM kwa sasa inatumia kauli fulani, hiyo ikiwa
mojawapo kuwahada watanzania, Yaani hata kama
ubaya ukitokea namna gani (Kiuchumi, Kimaendeleo,
Kisiasa, nk) kama ilivyo sasa au zaidi ya sasa
tuendelee "kujifariji" kwa kauli ile!!

Nadhani hapa ndipo tunapokosea(ikiwa ni kwa kujua au kutokujua) katika kutafsiri na kupambanua kauli na matumizi yake kwa tija ya Taifa.

Lakini, mtazamo wangu katika kujibu swali la thread ya mkuu Y. Nyerere, ninadhani kama Hayati Mwl JK Nyerere angekuwa hai leo hii, asingeweza kuwa mwanachama wa CCM, si kwasababu ya Umaarufu na upokelewaji mkubwa wa vyama fulani kwa wananchi(kwani hili lilitegemea katika mfumo wa vyama vingi) bali asingekuwa mwanachama wa CCM
1. Kwa yale mabaya yanayotokea katika nchi
yakihusishwa moja kwa moja na chama hicho.

2. Upofu/ Ukiziwi unaotokana na madaraka ndani ya
chama n.k
 
Kwa kuwa mwenyewe hayupo kila tutakachofikiria kuhusu nini hasa angefanya iwapo angekuwa hai kitakuwa sawa na kupiga ramli tu. Kitu ambacho nina uhakika nacho ni msimamo aliokuwa nao na aliousema hadharani kabla ya kifo chake nao ni kuwa pamoja na mapungufu ya CCM mojawapo likiwa ni la rushwa iliyokithiri na "inayonuka" bado kiongozi bora angetoka huko huko. Kwa taarifa yako mengi ya haya tunayoyaita ufisadi ndani ya CCM yalikuwepo hata enzi za uhai wa Nyerere na hawa tunaowaita mafisadi walikuwepo kwenye uongozi wa CCM wakati huo. Yote haya Mwalimu alikuwa anayajua kuliko mimi na wewe tunavyoyajua. Hii dhana kuwa ufisadi umekithiri baada ya Nyerere kufa ni dhana potofu kwani ulishakithiri kabla na hotuba zake nyingi zilikuwa zikiuongelea wakati huo.
 
Mkuu Tata, hebu soma nukuu za mwalimu hizi:

"Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala,mnategemea kuwaongoza Watanzania kwa lazima wakati wamepoteza matumaini" - JK Nyerere

"Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi?" - JK Nyerere

"Muogopeni sana mwanasiasa anaelazimisha kuwa kiongozi, kwani mkimpa uongozi atawageuka mda mfupi na kuwa mtawala" - JK Nyerere

"Watu jeuri ni walio huru, na ambao wako tayari kulinda Uhuru huo mpaka tone la mwisho wa damu yao. Sio walio wavivu wala rushwa na waongo". - JK Nyerere

"tunataka kiongozi ambaye anachukia rushwa,hata tukimwangalia usoni tuamini anachukia rushwa, Sio hata ukimuangalia tu unajiuliza mmh huyuu? - JK Nyerere

"CCM ina kansa ya Uongozi ambapo isipotibiwa itakiua chama kizima, ninatamani kitokee chama cha uinzani kitakacho iondoa ccm madarakani" JK Nyerere

"Rashid una roho ngumu, Utakufa ukiwa mwaminifu wa CCM? Mimi siwezi kuyasema haya, CCM inaweza kubadilika ikiacha misingi yake, nami naachana nayo, Nitaachana nayo kwa sababu CCM si mama yangu. Ninaye mama mmoja na siwezi kupata mwingine". - JK Nyerere
 
Angekuwepo KADI ya CCM angeichoma MOTO na Kuwaomba wafute JINA lake katika VITABU vyao vyote!
 
mwalimu angekuwa hai ccm ingekuwa chama chenye nguvu kwani rais tuliyenaye sasa na mtandao wake wasingeshika madaraka na kukifanya chama kama taasisi binafsi kumbuka bila mwalimu huyu mtu angekuwa rais mwaka 1995 lakini kwa maono ya mbali akamwengua ingawa wengi walimpinga na kumuona dikteta sasa wametambua kwanini mwalimu hakutaka wapewe nchi.Alikuwa hamwogopi mtu,alikuwa anajenga hoja na pia hata hao uamusho wasingethubutu kujitokeza na wala mambo ya udini yasingeshamiri kwani aliweka utanzania mbele
 
Ukweli husemwa:

Tusibweteke hapa na kuanza kumpamba Mwl Nyerere kama vile aliondoka na kuacha nchi iliyojaa neema na baraka.

Kwa nini watu hatuongei ukweli?. Mimi niwashangaa sana pale watu wanapoanza kuona mabaya tu kuanzia kwenye serikali ya awamu ya pili. Kuanzia kwa Nyerere mpaka kwa Kikwete wote ni walewale (manzi ga nyanza).

Mwl Nyerere, Kwanza siasa aliyokuwa akiiabudu alimshinda na akaamua kufunika uso wake kwa kutaka tuamini kuwa aling'hatuka. Alifanikiwa kwa hili kwa vile kipindi chake hakukuwa na uhuru wa vyombo vya habari kama ilivyo kwa sasa katika kumulika utendaji wa serikali kila sekunde.

Nchi aliiacha imefilisika na juu yake kukiwa na madeni ya ndani na nje lukuki.

Ondoeni hapa siasa za vibwagizo. Msingi wa Siasa za Nyerere, NDIZO ZILIJENGA JAMII HII TULIYONAYO KWA SASA.

siyo viwanda tu bali ni sekta zote
1. Elimu - Nyerere alijenga vyuo vya kila taaluma - maji, umeme, usafirishaji, kilimo, ualimu, uhasibu, biashara, misitu, nyuki, uvuvi, sanaa, ufundi nk . Hata ilipokuja mwamko wa kuwa na vyuo vikuuu wahuni hawakupata shida, kazi yao ilikuwa ni kuvibadilisha majina tu.
2. Usafiri - wakati wa mwl kila mkoa ulikuwa na kampuni ya usafirishaji wa mizigo na abiria, alijenga reli ya tazara, reli ya kati na tanga zilikuwa hai, wahuni wanachofanya hivi sasa badala ya kujenga reli mpya kusafirisha wakazi wa da slam wanatumia tu miundo mbinu ya mwl kama walivyofanya kwenye mavyuo.
3. Kilimo - Sio tu alisema kilimo ni uti wa mgongo bali alitekeleza kwa vitendo kwa kujenga chuo kikuu cha kilimo cha sokoinne pamoja na vyuo vingi vya diploma na certificate plus kiwanda cha kutengenezea zana za kilimo
4. Uongozi - kosa la uhaini adhabu yake ni kifo, mwl alipona majaribio ya kupinduliwa kwa kutumia nguvu mara kadhaa, lakini hakuna mhaini aliyeuawa, wote tunajua siasa za kiafrika zilikuwa ni kuua wapinzani wa aina yoyote, lakini mwl hakuua si wapinzani wa kawaida tu bali hata wahaini!!!! marais wa kiafrika akina mzee jomo kenyatta, iddi amini, mobutu sese seko, kamuzu banda, bokassa nk sera zao zilikuwa ni kuua wapinzani wa aina yoyote ile, cha ajabu miaka 27 baada ya mwl, watawala sasa wanaua wale wasiokubaliana na hoja zao
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom