Nooo....! Hayo siyo maswasiliano kwa wapendanao. Navyo jua mm kuna mawasiliano more than good morning and good nyt. You know s9metimes kunakupigiana simu atleast usikie tu voice ya yule unaye mpenda mostly kabla ya kulala na ikitokea hakupigii au hamuwasiliani japo hata kwa txt mara kwa mara...
Jivunie kuwa mwanamke awali ya vyote. Then unajielewa saan, hebu try kumpa mda kwanza then hebu treaty him the way yeye anavyo kutreat ww. Kama akinyamaza juwa ni normal kwake na ww lipoke hilo but kama ikitokea amechukizwa na unavyo mtreat then mwambie ukweli kwamba na ww moyo wako the way...
Well say Rediicky: Ila most of time mtu unakutana na vishawish kama vyote then ikitokea umeviepuka unaonekana kama ww mwanaume ni Anisi au shoga hv. Hii kwangu inanitokea saan ila binafsi naamini kwenye malengo yangu kwanza
Cute emmy bwana😂😂😂. Ww kolq simulizi lazima hyoo comment yako iwepo 🤣🤣🤣. Haya bwana ngoja niisome sasa nijue undani wa story. Maan story kama haina mwisho inakera co poa kabisaa
Siku zote naamini sana katika kuipa moyo nafasi ya kusubiri hasa unapofikia hatua ya mahusiano ya kimapenzi. Simulizi ni tamu saan na nimejifunza kitu kikubwa saana. In god we trust na kwake hakuna kisicho wezekana na jina lake lihimidiwe. Hiyo familia bila shaka mungu ameiwekea ngao ambayo...
Hi! Hongereni kwa kuona tena siku mpya ya leo wana JamiiForums.
I real love these gal named Anitha i real mic you my lovely sister ingawa tumejuana humu jamii forum but i real feel proud to know you.
Nyie watu bwana wakubwa wanafaid saaan aiseh. These gal she is very cute and so social sio...
Hellow.
Sote tunajua wazi kati ya Bar na Bra zikifunguliwa lazima kwa mwanaume yoyote atatokwa na udenda unless awe shoga, anisi au mlokole(hatumii kilevii)
So hebu jaribu kuimagine mwanamke aitwe Brabar😂😂😂.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.