Unavizia giza limeingia, unatoa mwili unaenda kuutupilia mbaliWakuu kwema?
Huwa najiuliza sana mfano imetokea umekuwa na mahusiano na mwanamke halafu baada ya wiki akaja kwako kulala halafu asubuhi unamuamsha unataka uingie mishe mishe unashangaa haamki, unamtikisa unaona hatikisiki, unammwagia maji haamki. Unahamaki kuona anatokwa povu mdomoni, unamgusa unakuta wabaridi
Unagusa kifuani unashtuka mapigo ya moyo hayadundi. Je, utatoka nje uwajuze majirani? Wataamini vipi kama ni bahati mbaya
Je, utatoroka?? Hapa utakuwa umejivua utu na itaonekana kama ulikusudia
Ukibaki tena ni msala tena msala kwelikweli
Je, utafanyaje??
Mkuu nasubiri muendelezo wa hii issue.Nilikuwa Tanga demu akaanza kuumwa tumbo usiku hadi analia hapo mie wala sijamgusa. Kusema kweli niliogopa sana na nilikuwa najiuliza huyu akifa hapa ndiyo nafanyaje?
Yule mrembo tulipendana sana na nilijua atakuwa mke wangu. Penzi letu lilisababisha ugomvi mkubwa kati ya dada yake na shemeji yake. Dada mtu ambaye alikuwa akiniona mimi kijana wa maana sana hadi kunisifia kwa wadogo zake wa kike baada ya kujua tu mdogo wake ni mpenzi wangu akanichukia vibaya sana hadi akaanza vitisho kwangu kwamba ataniroga 😂😂😂😂wakati mie nimeweka pamba masikioni. Shemeji alikuwa ananifagilia kwamba atuache na penzi letu hatimaye nao wakaanza kugombana kisa penzi letu. Dada mtu ndiyo akaamua kumhamishia binti Tanga kama vile Tanga na Dar umbali wake ni mbingu na ardhi 😂😂
Wakuu kwema?
Huwa najiuliza sana mfano imetokea umekuwa na mahusiano na mwanamke halafu baada ya wiki akaja kwako kulala halafu asubuhi unamuamsha unataka uingie mishe mishe unashangaa haamki, unamtikisa unaona hatikisiki, unammwagia maji haamki. Unahamaki kuona anatokwa povu mdomoni, unamgusa unakuta wabaridi
Unagusa kifuani unashtuka mapigo ya moyo hayadundi. Je, utatoka nje uwajuze majirani? Wataamini vipi kama ni bahati mbaya
Je, utatoroka?? Hapa utakuwa umejivua utu na itaonekana kama ulikusudia
Ukibaki tena ni msala tena msala kwelikweli
Je, utafanyaje??
Mkuu nasubiri muendelezo wa hii issue.
mkatekate muweke kwenye begi ukamtupe polini,,, ila ukijifanya kutoa taarifa police itakura kwako ,,

Native son :utajifunza kituStori ya kubumbaAlizima kwa masaa matano kuanzia saa tano asubuhi hadi sa Nne!? Sijakuelewa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naifaham, ni muvi kali sana...Jamaa aliua bahati mbaya akaona suluhisho ni kuuteketeza mwiliNative son :utajifunza kitu
Haha ahaaaaaaaa!!! Watu ktk kufanya usafi wakakuta pete! Jamaa alikua mzembe sana! Pale angemgegeda yule binti yote yasingetokea!Naifaham, ni muvi kali sana...Jamaa aliua bahati mbaya akaona suluhisho ni kuuteketeza mwili
Saa kumi mkuuAlizima kwa masaa matano kuanzia saa tano asubuhi hadi sa Nne!? Sijakuelewa!
Sent using Jamii Forums mobile app