I love you Anitha

Algedo

Member
Jul 24, 2020
98
163
Hi! Hongereni kwa kuona tena siku mpya ya leo wana JamiiForums.

I real love these gal named Anitha i real mic you my lovely sister ingawa tumejuana humu jamii forum but i real feel proud to know you.

Nyie watu bwana wakubwa wanafaid saaan aiseh. These gal she is very cute and so social sio zile pisi ambazo zikisha jua kwamba yy ni mali safi anaanza kujisikia but yeye yupo tofauti saan na wengine.

Marafiki zake ni watu flan ambao wanamwonekano wa kuvutia na ngozi zao mithili ya mtu kaogea mafuta badala ya maji😍😍.

Anitha Dada yangu pole saan kwa ile threed uliandika kipindi flan nyuma kwamba "boyfrnd wako alikuacha kisa tu hukua na elimu" but now umesoma na huwa mnakutana kwenye ocation tofauti za kikazi. Am proud of you bby anitha. Ningekuwa na umri wa kuoa basi wenda ningetamani ww uwe my gal cause unasifa kibao. I love you 💘 bby Anitha nikiwa na bando nitakutafuta tuchart couz ur the one i miss now. Once again...! I LOVE YOU.😍😘♥❤
 
Siku popobawa akikiuka masharti anaweza jikuta analala mlalo wa popo mwenzie miguu juu.

Nzi mwenye Suti za kijani Ongeza maarifa basi na kuwa serious na mambo yako ufanye hata uchavushaji wa maua km asali imekushinda kutengeneza.
 
Watakuambia wewe ndio anitha mwenyewe...watafika mbali zaidi na kusema kwamba unapiga kross na kuikimbilia ukafunge mwenyewe...hawatoshia hapo watasema una Id ngapi jf..wataenda mbali zaidi nakusema weka picha ya anitha.
Hawataishia hapo mwisho kabisa watasema hilo tangazo lake apeleke jukwaa husika
 
Hii mbungi yote si ungeidondosha kwenye inbox ya mrembo Anitha...

Huku Jeiefu utawafanya mabazazi waanze tafuta koneksheni kujua Anitha ni nani...

Hujajifunza tu toka kwa mweusi Nikki
 
Hii mbungi yote si ungeidondosha kwenye inbox ya mrembo Anitha...

Huku Jeiefu utawafanya mabazazi waanze tafuta koneksheni kujua Anitha ni nani...

Hujajifunza tu toka kwa mweusi Nikki
Hilo ndio lengo lake mkuu si ajabu yeye ndo Anitha uyo.
 
Back
Top Bottom