Recent content by alfredj

  1. alfredj

    JamiiForums Tanzania TANESCO inaidai jeshi la Wananchi JWTZ TSh bilioni 3, Jeshi laanza kulipa deni

    Wakakate sasa kama hatuja mturn
  2. alfredj

    JamiiForums Tanzania Basata mnasubiri nini kumchukulia hatua Ney wa mitego

    Na wewe ni mmoja wao nakuambia huwezi kuwafunga watu midomo Mungu atainua hata mawe yaseme ndio mtashangaa na mjue Mungu si mwanadam aseme uongo
  3. alfredj

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe: Sakata la Clouds kwa sasa ushahidi hautoshi kufanya maamuzi

    Wanafikiri sisi wajinga waache kulindana kwa sababu ya kubaki kwenye cheo
  4. alfredj

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kwa hili yuko sawa, ITV jirekebisheni

    UnAjua si watanzania Sijui akili zetu ziko wapi mnataka wasirushe ili tatizo liendelee kuwepo bila utatuzi mi nazani ni vyema ili yaonekane serikalin ngazi ya juu ili yapate utatuzi wa haraka kumbuka mficha marazi kifo humuumbua Waacheni ITV waendelee kufichua migogoro sugu serikali ione na...
  5. alfredj

    JamiiForums Tanzania Prof kujiita "asiyefaa" ni unyenyekevu au kutojitambua?

    Unyenyekevu kwa aliye mweka
  6. alfredj

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Habari Ikulu mwambieni Rais haya kabla ya kulaumu vyombo vya habari

    Bora umwambie sie wananchi wa kawaida tunasingiziwa na wakuu kwamba eti zinatupa hisia hasi kama kuandika jambo kubwa LA mh Nape , binafsi nasema waache kusingizia uvunjifu wa amani kwa kutaka kuficha jambo kama RAIA tunataka kusikia habari zenye mashiko ambazo mwisho wa siku hatukua na jawabu...
  7. alfredj

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais Magufuli amemzuia RC Makonda kutokea mbele ya Kamati ya Bunge

    Mtetea na yai viza Inapoatamiwa ni ziro
  8. alfredj

    JamiiForums Tanzania Hii ni dharau kubwa sana aliyoifanya mkuu wa mkoa wa DSM dhidi ya waziri wa habari na michezo Mh Nap

    Hapana sikuungi mkono ukisema tunawaaminije maana makonda hajaonesha ushirikiano hata chembe ili kuupata ukweli sasa jiulize kwa nini aliwakwepa wanakamati??
  9. alfredj

    JamiiForums Tanzania Mwanahabari Jerry Muro ahoji uhalali wa tume ya Mhe. Nape Nnauye

    We nawe unataka polisi ndio wangefanya hii kazi pia huko wasingekua na interest na upande wa pili?
  10. alfredj

    JamiiForums Tanzania Tujadili Kisheria:Vitisho Viwili Hatari vya "Paul Makonda"

    Achape kazi ndio kama hizo
  11. alfredj

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Kitendo kilichofanywa na RC Makonda kimenajisi Tasnia ya Habari. Kamati yaundwa...

    Hii ndio elimu tuliyopewa inavyotusaidia kuelewa mambos
  12. alfredj

    JamiiForums Tanzania Kama haya matukio ya Makonda yangekuwa ni Movie, Je ingepewa jina Gani?

    From zero to hero
  13. alfredj

    JamiiForums Tanzania Kama TLS watachagua mwanasiasa itakuwa ndio mwisho wa uhusiano wa serikali na TLS

    W anaoleta haya yote ni viongozi wa serikali wao wenyewe wana uchama kwa nn walitolea povu hivi kwa nguvu zote kana kwamba walikua wanakiendesha chama kupitia hao viongozi ambao walijionesha hawana chama kumbe sio , kwa lisu huo mkono hauta kuwepo utakatiwa chini na lisu endapo atapita tumuombee
  14. alfredj

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Tundu Lissu(Mb) akiwa nyumbani kwake Dodoma. Apelekwa Dar, anyimwa Dhamana

    Kuna watu wanafanya kama nchi ni Mali yao pekee
  15. alfredj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi enzi za utineja 01

    Haaa
Back
Top Bottom