Kwangu hiki ni kituko kiingine baada ya kile cha mkuu wa mkoa mwny PHD aliyetumbuliwa akaanza kulia lia kuwa yeye ni mtoto yatima, hana pakushika, hana pa kukimbilia. Akaomba msamaha " Nimekosa mimi, nimekosa sana, nimekosa sana. Kwangu nilitafasiri huu ni utumwa wa kichwani au njaa ya kichwani au ugonjwa wa kichwani.
Leo tena prof anayepewa dhamana ya uwaziri anashukuru kwa kuinuliwa kutoka "sio kitu", "asiyefaa" mpaka kuaminiwa!!!! Hii ni aibu!!! Anatambua dhamani yake kweli huyu!! Inamana wote wasioteuliwa katika serikali hii sio kitu. Inamaana maprof wengine ambao hawajateuliwa kushika nafasi serikalini sio kitu? Pole kwa wote waliopita mikononi mwake!!!
Tutarajie nini kwa mtu ambaye hatambui hata thamani yake!!