NGURI PORI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Katika Uwasilishwaji wa taarifa ya Tume teule ya Waziri wa Habari, Michezo na utamaduni Nd.Nape Nnauye juu ya Tuhuma za Kuvamiwa Ofisi za Clouds Media ; Binafsi nimeguswa zaidi na Vipengele Viwili Ambavyo vimetajwa kama Vitisho vilivyotolewa kwa Wahusika wa kipindi cha SHILAWADU na Paul Makonda wakati wa Uvamizi Huo.
Vitisho hivyo kama vilivyotajwa katika report hiyo ni ..
1.Kuwafunga Jela Waatangazaji wa kipindi Hiko Miezi sita Bila Kupita Mahakamani.
2.Kuwataja kwenye Kesi ya Madawa ya Kulevya.
Hakika Nimeshtushwa saana Vitisho hivyo , nikajiuliza maswali Mengi sana , ikiwa ni pamoja na Maswala ya Kiimani juu ya mtu huyu , lakini zaidi nikawaza Je Kisheria Jambo hili limekaaje ? Vipi Maadali ya Utumishi wa Uma.
Iko haja ya kufika mbali na mambo Matishio hayo.