Recent content by Alfagems

  1. A

    JamiiForums Usiku wa manane

    Naam Naam.
  2. A

    JamiiForums Usiku wa manane

    Nipo Namalizia Threads Ambazo sikusoma, Hivyo Leo Nagawa Likes za Usikuusiku 😅
  3. A

    Mti uliotoa machozi Dumila

    Nasubiri....
  4. A

    Natafuta kazi yoyote halali

    Kuna Jamaa Anapostigi kazi za Zanzibar, Anaitwa " Kalaga Baho Nongwa " yupo humu Mcheki Atakusaidia.
  5. A

    Ulifanya nini ulipodhulumiwa?

    Mimi Nilipata kazi G1 Security Mama Akanishauri Niweke Pesa Vicoba ili Niichukue Yote Mwisho wa Mwaka, Kwakuwa Nae Alikuwa Anacheza Nikaamini Nikawa naweka Mshahara wangu Wote Masikini. Wale Viongozi Pesa Wakaila, Wengine Wakakimbiaa Mama Yeye Alikopa Hivyo Walimalizana yaani Hakuwa Akivunja...
  6. A

    Wanaojua Kiingereza tu: Karibuni tuchati kwa Kiingereza

    Morning Guys, Where is Rarareree !? i have not seen him / her its About Two Month now, Me and rarareree Used to Assess each Comment here in Jamiiforums. Let's Check Him.
  7. A

    Baadhi ya kazi ndogo ndogo zinazoweza kupa connection kubwa ukatoka kimaisha kirahisi

    Hii Ni kweli Kabisaaa, Nakumbuka ile Siku Nawaaga Wahindi Na Meneja Pale Nilipokuwa Nalinda Waliumia sana Daah !!! Laiti kama Ningetaka Kuwa Dereva Nina imani Kazi ningepata Palepale, Sema Basi tuu Niliamua Kuja Kusoma.
  8. A

    Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

    Haya Mambo, Ni Kumuomba MUNGU tuu Umpate Mtu Sahihii, That's All.
  9. A

    Kijana unayejitafuta kimaisha, katika utafutaji wako Zanzibar iweke namba moja

    well, Tupe Mfano wa hizo kazi ili Nami Mwenye Usikivu Hafifu Nione ya Kunifaa.
  10. A

    Kijana unayejitafuta kimaisha, katika utafutaji wako Zanzibar iweke namba moja

    Uzi Mzuri, Nimepanga Nikimaliza Chuo Niende Zanzibar, Lakini Ninajiulizaa Nitafanya kazi ipi !? Maana Nina Usikivu Hafifu "Hearing Loss" Though Mimi Si Mtu wa Kuchagua Kazi Na Nimeshafanya kazi G1 Security., Mungu Anisaidie.
  11. A

    Kampeni ya vijana kukataa ndoa ni matokeo ya kumtenga mtoto wa kiume katika malezi

    Hizi Mada za "Kataa Ndoa" humu JF nimeanza kuzisoma Tangu Nipo Lindo Past Years Mpaka Leo Nipo Chuo Duuh. Binafsi SijaOA Bado ila kwa Upeo Wangu Haya Mambo Ni Kumuomba MUNGU Akupe Mtu Sahihii. That's All.
  12. A

    Naombeni Nyimbo Hizi

    Wakuu Habari za Uzima, Naombeni Mnisaidie Audio za Nyimbo hizi, Hizi Nyimbo Nilikuwa Napenda Kuzisikiliza Kabla Sijapata Hearing Loss "Usikivu Hafifu" Najua Kwasasa Nitafaidi Midundo tuu ila sio Mbaya. Nyimbo Zenyewe ni 1. Wanaume Tumeumbwa Mateso 2. Kwetu Pazuri - Ambassador Choir 3. Lulu...
Back
Top Bottom