Recent content by Alexis Olivier

  1. Alexis Olivier

    Lowassa alikuwa wapi wakati wa kumuaga Marehemu Samwel Sitta?

    We unamuwaza Lowassa tu......kakufanya nn......?unaumia ukimckia.....kwani Hashim Rungwe alikuwepo...? SIASA ZIMEKUARIBU.
  2. Alexis Olivier

    Who voted for Trump?

    Secret voters.....opinion polls have no place in this era...remember Brexit.
  3. Alexis Olivier

    Kuhusu mke wa Rais: Taasisi ya urais imepotoka

    Mbona hajajifunika yale mashuka meupe ya msd...? Pale siasa zipo.....yule alikua na mafua tu....madaktari wazuri bongo walishakua brain-drained kitambo.......achilia mbali mausumbufu kwa wagonjwa wengne.....we unasachiwa mpaka kwenye "pichu".
  4. Alexis Olivier

    Yanga yaihitimisha mzunguko wa kwanza kwa kuisambaratisha Ruvu Shooting magoli 2 kwa 1

    Umoja wa mataifa...machampioni wa kabumbu Tanzania#FACT#
  5. Alexis Olivier

    Hivi Lowassa bado anafikiri ataibuka tena? Wakati Rais ni Magufuli !!

    Uzi sio constructive huu...unabuild division.....leta thread inayotuunganisha cc as Tanzanians.....kiroho safi.
  6. Alexis Olivier

    Wadaiwa bodi ya mikopo kitanzini. Kuanza kukatwa 15% kutoka kwenye mshahara

    Hapa tatizo ni uvivu wa kubuni vyanzo vya mapato.....wanawaza vimshahara tu....bado wanakuja....wanavitazama vimshahara vyetu.....macho kodo...hawatazami pembeni...wanakodoa kodo.....cku tutaenda home na buku tatu na mia mbili..........
  7. Alexis Olivier

    Kutoka Sokoine: Tanzania Prisons yairarua kirahisi Simba SC kwa Mabao 2 kwa 1

    Simba walitangulia na baiskeli ya barafu uku jua linachomoza....Daima mbele nyuma mwiko. Hahaha
  8. Alexis Olivier

    2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    He is now the president of USA.....Both those who endorsed him and those who didn'nt are his friends. Dump division...build the country.
  9. Alexis Olivier

    2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Trump bado 6....kabeba ndoo...wamarekani wameamua.
  10. Alexis Olivier

    Ninaomba ujibu hesabu yangu, wengi watafeli

    Makosa ya kiufundi.
  11. Alexis Olivier

    Ninaomba ujibu hesabu yangu, wengi watafeli

    Apple 10....ndizi 4.....nazi 2........10+4+2=16
  12. Alexis Olivier

    Naomba kujua Nyumba zinazonukia, Wanafanyaje?

    Usasa mwingne una madhara...safisha nyumba...epuka v2 nyenye harufu mbaya.....large windows....allow hewa iingie na kutoka....hayo maarufu ya wadhungu hachana nayo.......cancer.....westerners dump them here. Stay natural dude.
  13. Alexis Olivier

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    C tushalala...hatuna hamu....tukiamka kama kawa.....unaweka NLD 2+....stake mke na hati ya nyumba........ajira zenyewe baba Jesca anasema zinatolewa "VERY CAREFUL".
  14. Alexis Olivier

    Ibara ya 35 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Weka hoja ndugu....hacha jazba...au unataka kua DC...?
Back
Top Bottom