Ninaomba ujibu hesabu yangu, wengi watafeli

Kwanini nichukie kwa maoni yako?
Jibu ndiyo huku ukiweka sababu.

Hahaha umejibu kistaarabu lakini kama nakuona moyoni!!!

Wala najua upo very smart, nimemshangaa BAK ambaye niliona mpo wote smart amekosa. Huoni hata wewe umemshangaa hapo juu!??
 
Kaka Mentor...Mimi ni mstaarab,sana tu.
Daima hukubali maoni ya wengine juu yangu.
Na kanuni yangu ktk maisha ni ukweli daima.
Haijalishi ukweli huo utaniumiza au kunikosesha kitu fulani,kwangu ni bora zaidi ya kufurahi au kupata kitu fulani kwa njia ya uongo...nitakosa amani.

Anyways...asante kwa compliment,I'm humbled.

Kuhusu BAK ngoja aje kujibu mashtaka yake,ila kuteleza ni jambo la kawaida.
Nae ni binadam pia.
 
Not that I had a negative view of you, but this part I didn't know of you!

...and I love it. [HASHTAG]#kudos[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom