Ninaomba ujibu hesabu yangu, wengi watafeli

Ninaomba ujibu hesabu yangu, wengi watafeli

hahahahaha lol! Naona aisee! lakini Mwalimu muelewa anaweza angalau kunipa 90% ya marks 🙂🙂 kwa ufafanuzi nilioufanya lakini nikasahau kuweka moja kabla ya sita. Chezeya kigugumizi cha vidole weye Lol!

Mhhhhh broda ulikuwa na usingizi hapa nini?
 
Haya ndio maswali yaliyonifanya nipate kazi standard chartered bank mwaka 2009 kabla sijakimbilia serikalini
 
Usiniambie uliziachia A-level ukasema zikutue!!
Teh hadi chuo nilizichukua chukua.

Usinikumbushe hiyo test moja tupo 2nd year, ile nimeshika pepa nikajikuta natetemeka. Teh muda si mrefu nasikia vilio vya watu + wengine kuzimia huko, chezea digits wewe. Ila God is always good wallah, alinishangaza mno aisee
 
Back
Top Bottom