Recent content by alexamples

  1. alexamples

    KERO Chuo cha CBE hakiwatendei haki wanufaika wa mikopo

    Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka chuo cha elimu ya biashara hasa kwa ndaki ya Dodoma kuwa wanufaika wa mikopo wanaondelea na masomo kutokupata allocation za mwaka huu wa masomo 2026_2027, ilihali matokeo yao yapo vizuri, wakienda kwenye ofisi za bodi ya mikopo wana ambiwa matokeo yao...
  2. alexamples

    Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi

    Kumbe wote mna akili moja angalia mitandao ya meta Facebook Instagram na wassapp ni rahisi sana kuwa na hacked na kufuatiliwa kuliko Twitter na telegram.
  3. alexamples

    Taa nyekundu kwa ordinary share holder wa CRDB

    Mimi sio speculator ila Maamuzi wanafanya wao au ni mimi? Kuna watu niliwaambia kuhusu mwalimu commercial bank bei ilipo kua 2100 wakasema nawaonea wivu haya sasa wanalia huko.
  4. alexamples

    Taa nyekundu kwa ordinary share holder wa CRDB

  5. alexamples

    Hizi ni njia za kupunguza risk kwenye soko la hisa

    Karibu Stock analytics In Tz💹
  6. alexamples

    Hizi ni njia za kupunguza risk kwenye soko la hisa

    Kuwekeza kwenye share na hati fungani it's risk lakini kuwekeza kwenye hisa ni risk zaidi na risk zipo katika aina hizi... Systematic risk hizi ni aina za risk ambazo ni unavoidable( haziepukiki) maranyingine huitwa market risk, huathiri soko zima, mfano wa hizo risk ni inflation, vita n.k...
  7. alexamples

    TRA INNOVATION PORTAL

    JE HAUNA TIN? , FUATA TARATIBU HIZI UPATE TIN BURE NA UWEZE KUTUMA WAZO BUNIFU TRA USHINDE HADI MILIONI 50. 1. Ingia kwenye tovuti ya TRA 2. kwenye kipengele cha huduma mtandao (e-service) bofya innovation portal 3. Unahitajika kuwa na TIN. 4. Huna TIN? Jisajili kupitia Taxpayer Portal kwa...
  8. alexamples

    TRA INNOVATION PORTAL

    Unatumia PC kwanza au kwa maelekezo zaidi tembelea channel yao ya wassapp
  9. alexamples

    Kutangazwa kwa gawio la Vodacom litakuwa na effect chanya kwenye bei ya hisa

    https://whatsapp.com/channel/0029VbDSYqp6hENqzjpBgg3t
Back
Top Bottom