Recent content by Alex phares

  1. Alex phares

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania U-bachelor raha sana, nimepika na kula ndani ya dakika 15 wapangaji wenzangu wanapiga miayo tu wakisubiria vya wake zao

    Ipo siku utakuja raha yakuwana mke
  2. Alex phares

    JamiiForums Tanzania Wenye Nyumba/Vyumba vya kukodisha msiogope

    [emoji12] KUHUSU WAZIRI WANYUMBA NA MAKAZI KUWAOMBA WENYENYUMBA KUPANGISHA KWAMWEZI MMOJA MMOJA JE KUNAWEZA KUWAPA UNAFUU WAPANGAJI AU NDO KUNAWEZA KUWAPA MAISHA MAGUMU ZAIDI?
  3. Alex phares

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ni haki yako kuchunguza simu ya mwenza wako kwa usalama wa ndoa yako!!!

    Sioni kama kuna maana sana ..maana kitakachofuata nikila mtu kutengana na mwenzake au kukata tamaa ya maisha maana bila amani na upendo wadhati nyumbani... Hauwezi kufanya mambo yako kwa uhuru zaidi. Lazima ufail 2
  4. Alex phares

    JamiiForums Tanzania Polisi wamezichukua simu za Faiza Ally kwa uchunguzi

    Natamani apigwe faini kubwa sana alafu wamufungie kila huduma ya social network. Maana inaonekana akili zake zimetenguka sana ..
  5. Alex phares

    JamiiForums Tanzania Lema: Mbunge wa CHADEMA anatarajia kuhama kati ya Jumatano na Ijumaa

    Ngoja tuone
  6. Alex phares

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasikitika kwa mara ya kwanza nmetembea na mke wa mtu

    Utakuja kiona chamutema kuni
  7. Alex phares

    JamiiForums Tanzania Marekani imeuonya utawala wa Korea Kaskazini kuwa utaangamizwa kabisa iwapo vita vitazuka

    Ngoja waumane tuone vita yadunia
  8. Alex phares

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye miaka zaidi ya 25 Ila hawana kiwanja

    Mmmmh jamani hata mimi nione aibu kiukweli
  9. Alex phares

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwigulu Nchemba zamani akiwa anachunga ng'ombe, huwezi amini

    [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
  10. Alex phares

    JamiiForums Tanzania TANESCO yapeleka maombi EWURA ili kupandisha bei ya umeme kwa 18.19% kuanzia Januari, 2017

    Hili linnchi limejawa na mapapa tu [emoji120][emoji120][emoji120]
Back
Top Bottom