Mwanaume ni haki yako kuchunguza simu ya mwenza wako kwa usalama wa ndoa yako!!!

Tatizo huenda unakuwa humpendi ulo Nae , au wote ni wachepukaji
Hizo ni assumptions zako. Hazina ukweli wowote. Badala ya kupambana nianze kuhangaika na mambo ya kufikirika? Kama binadamu ameamua kiharibu hakuna utakachoweza kufanya kuzuia
 
Sioni kama kuna maana sana ..maana kitakachofuata nikila mtu kutengana na mwenzake au kukata tamaa ya maisha maana bila amani na upendo wadhati nyumbani... Hauwezi kufanya mambo yako kwa uhuru zaidi. Lazima ufail 2
 
Kwanini uogope mwenzako kuchezea sim yako? Hamuogopani kuchezeana vinyoleo iweje uogope kichezea sim?. Kama presha ni matadhi kama yalivyo mengine. Mimi sim ya mke wangu nipo huru nayo sana tu password yangu ni yake, yake ni yangu kwa ufupi tunashea kila kitu. Kasoro kitu kimoja ya kwangu anaogopa kuichukua mpaka aniombe lakini sio kwamba akichukuwa ntachukia hapana. Anaheshim tu kama ana shida nayo anaichukua kama kawaida, lengo la kuchukua ni pale nimpe ruhusa ya kutumia dakika zilizobakia kama hazina kazi na zinakakaribia kuisha mda.
 
Mkuu wewe na mimj pacha,mke wangu yuko guru sana na simu yangu, hutumia any time anapijisikia, ini short hats Mimi pia natumia yake
 
Kwanini uogope mwenzako kuchezea sim yako? Hamuogopani kuchezeana vinyoleo iweje uogope kichezea sim?. Kama presha ni matadhi kama yalivyo mengine. Mimi sim ya mke wangu nipo huru nayo sana tu password yangu ni yake, yake ni yangu kwa ufupi tunashea kila kitu. Kasoro kitu kimoja ya kwangu anaogopa kuichukua mpaka aniombe lakini sio kwamba akichukuwa ntachukia hapana. Anaheshim tu kama ana shida nayo anaichukua kama kawaida, lengo la kuchukua ni pale nimpe ruhusa ya kutumia dakika zilizobakia kama hazina kazi na zinakakaribia kuisha mda.
Like kama buku hiv
 
Kuchunguza sio kuzuri ila kushika sio kubaya...ila unapogundua amebadilika kuchunguza ni sahihi.

Huwa nawashangaa watu wanaosema usishike simu ya mpenzi wako. Sasa yangu ikiisha chaji au salio na tupo wote ndani??
Si uichaji yako au ununue salio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom