Recent content by Alex Mponela

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sheria itakayo waumbua Simba sc Fifa

    We waache waendelee kukomalia pointi za mezani wakati walifungwa na hiyo Kagera bila ubishi, na hata sasa wenzao upande wa pili wanajipanga kwa msimu ujao na kombe la CAF wao wanahangaika na mambo ya kitoto. Wakiendelea hivi mwakani tena wanakosa kombe na watazidi kumtafuta mchawi. Mpira...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sheria itakayo waumbua Simba sc Fifa

    Nahukia sana mtu anayeacha kujibu hoja na ku attack personalities. unapata wapi ujasiri wa kuwaita wenzio ni wa facebook na wewe ni wa great thinker wakati wewe ni kimeo zaidi! Usitudanganye wewe kuwa eti kuna watu wanatafuta suluhu hapa! hakuna kitu kama hicho. FIFA inasimamia sheria zake 17 na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu ninamhurumia Maalim Seif na CUF Zanzibar!

    let us be honest! Maalim seif wa sasa hivi siye yule wa siku za nyuma. zamani alikuwa mtu mwenye nguvu na ushawishi mkubwa wa kisiasa, bara na zanzibar. Leo hii hata hajulikani anatafuta huruma kwa nani!, Seif amekuwa mtu wa kuhangaika hangaika mpaka basi tu!
  4. A

    JamiiForums Tanzania AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

    hakuna livestream wakuu?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Taa ya engine inawaka

    Wewe ni mtaalamu unaonekana hubabaishi. asante sana maana umetusaidia wengi. stay blessed.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Totoresha

    0784355668
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kunguni wameshamiri kanda ya ziwa?

    Mi naona jamaa hawafahamu kunguni! Anawasikia tu! Kunguni hawafi ovyoovyo! Chukua blanketi lenye kunguni, loweka kwenye maji wiki nzima, ukifua, ukalikausha bado unao!! Hawatoki! Mpaka mayai yao yanajizalisha katika mazingira yoyote!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kunguni wameshamiri kanda ya ziwa?

    Niliwahi kusoma makala moja iliyotolewa na BBC inayosema " Jeshi la Uganda lapigana na kunguni" nikadhani in mzaha, lakini kunguni wanauwezo wa kuhamisha brigedi nzima ya Jeshi kwenda sehemu ingine vitani kwa kuhofia Usalama wao. Kunguni wananguvu kuliko AK47[emoji2] [emoji3] [emoji3] wanafanya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi YANGA: Majina yaliyopitishwa na Kamati katika usahili yawekwa hadharani hivi leo.

    [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] kweli kabisa mkuu, nimeamini hilo. Makaburu weusi ni wabaya sana ! Ni kama weupe tu!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Picha zinatisha: Msichana wa kazi za ndani achomwa na moto Uarabuni

    Unasema Waarabu wafukuzwe wakati juzi tu Waziri Magembe amewarudishia kibali cha uwindaji Waarabu wa Greenmile ambao tulishuhudia wakiwafanyia ukatili Wanyama wetu katika filamu ilochukuliwa huko Selous! Nchii hii viongozi wetu wako kwa maslahi yao hawawezi kuwafukuza!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Klabu ya Yanga kuuzwa rasmi kwa Manji umefika

    Pointi tupu mkuu! Umeongea kisomi sana!
Back
Top Bottom