Niliwahi kusoma makala moja iliyotolewa na BBC inayosema " Jeshi la Uganda lapigana na kunguni" nikadhani in mzaha, lakini kunguni wanauwezo wa kuhamisha brigedi nzima ya Jeshi kwenda sehemu ingine vitani kwa kuhofia Usalama wao. Kunguni wananguvu kuliko AK47

wanafanya mashambulizi kimya kimya usiku bila kuwaona. Wanashambulia haraka na wepesi kukimbia chap! Kunguni ni soo. Niliwahi kulala macho pale Kahama ndani ya guest nikawaachia kitanda mpaka asubuhi! Kunguni ni nuksi! Uliza Jeshi la Uganda watakwambia. Usicheze na kunguni.