Sokoine alikuwa ni kiongozi shupavu na hakuna wa kumlinganisha naye, nakumbuka kabla ya kupanda gari kwenda dodoma na wakati anarudi ndipo alipo Pata ajali yenye utata, alimwambia rashidi kawawa rudisha pesa za wananchi au nenda radio Tanzania ukawaambie watanzania hizo pesa umepeleka wapi? Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.