Mnyika: Rais Magufuli amekwama

Mnyika: Rais Magufuli amekwama

fanyeni gemu iwe fair play muone. Mnakuwa waogawaoga kama digidigi bana. Bunge live mmebana, uhuru wa mikutano ya siasa mmebana. Mmebakia kufanya mambo yakijingajinga tu Kwa kumtumia bashite na yote ikabackfire. Mnateka innocent unarmed ppl ambao hata hawawez kijidefend et tyss kwanini msiende kuwateka hao majambaz huko vichakani wanawaua ndugu zetu polisi. Mmeshindwa kudeliver mmebaki kufanya vituko na mambo ya kijingerjnger.

MNAKERA!
Utachonga sana lkn mwisho wa siku utaishia hayohayo tu.
 
hivi nyinyi vijana Lumumba ni WA nchi hii ni maslahi tumbo.

nchi inaangamia nyie hamuoni

uvunjifu WA katiba wazwazi

utekaji

uchumi kuanguka

viwanda imekuwa VI wonder

ajira hamna

nyongeza Za mishahara hamna

mfumuko WA bei

nyie haya mnaona yanaletwa Na upinzani
Ndugu yangu hawa watu wanashangaza sio kidogo utadhani wao ni RAIA wa Msumbiji na haya yanayoendelea hapa wao na familia zao hayawaumizi na kuwaangamiza.
Kwa vile yanaendelea kujitokeza na ni katika kipindi Chao cha maamuzi wasubiri wakati watoto wao watakapo kuwa watu wazima wenye maamuzi na kuona ushabiki wao ulivyo angamiza nchi wataitwa "wazazi wapumbavu'
 
Upinzani ili uonekane unafaa ni afadhali wangemuunga mkono Rais wetu wa sasa...kazi anayofanya ni kubwa na wananchi tunaona,wanapokuja na kejeli kwa mkuu sijui wanadhani hatuna akili hatuoni?
Ulitaka kuandika kitu gani? Unafahamu maana ya "upinzani"? kauli ya Mnyika inamjeli mkuu kivipi? Tutakuwa tumekosea tukisema nchi hii imejaa akina Bashite?
 
Anatakiwa kuweka "Mifumo". sio kila siku Tumbua Tumbua.

my take.
CAG report. Tumbua Tumbua=0. hela zetu bado zinaibiwa Na kupotea.

katiba mpya haiepukiki
Mtumbuaji ndiye aliyepaswa kutumbuliwa tangia enzi ya Mkapa lakini akalindwa.

Katiba mpya ipi isije ikawa ile uozo
 
Kwani CAG report inahusu mwaka upi wa fedha?
 
Kilo ya sukari sh. 3800, unga sh. 2400 biashara zimekufa, ajira hakuna, halafu mnaleta ujinga wa kusifia tu!
 
Unapo fukuza dagaa kukosa vyeti ukaacha papa ndo kinafanyika , ajira mizengwe tupu,
 
Anatakiwa kuweka "Mifumo". sio kila siku Tumbua Tumbua.

my take.
CAG report. Tumbua Tumbua=0. hela zetu bado zinaibiwa Na kupotea.

katiba mpya haiepukiki
Huwezi kuweka mfumo kwenye ubongo wa watu waliozoea uhalifu/ wizi "you must first clean the house " sasa watu kila mtu kwenye idara zao walizoea wizi si lazima afute kwanza hiyo mentality ili aweze kuweka reform?
 
mko bize na bashite ndio ajenda yenu kubwa ya kitaifa, na kulaumu tu

mpaka akili ziwaingie mnakuwa vizee kama raila odinga na mnaiacha ccm

muda mwingi upinzani unacheza muziki wa ccm

mnakuwa side moja ya ccm huyu, against ccm yule

next day mnashangaa mmepigwa chini EALA, akili zinakuja ccm ni wale wale, mnaishia kutukana

upinzani ni kama mbwa asiye attack anasubiri paka na panya ndio wabweke!!

THEN......mwisho wake Mnyika anataka CCM waweke mfumo??? ...

Ni muda mzuri wa kuamka na kuwaza tume huru ya uchaguzi, CCM haiondoki kwa hizo wishes, na wala hawatamsiliza, ni nzuri akojoe alale, maana tushasema sana

au kuna jipya??
Popoma at his best
 
CHADEMA ni chama kilichokosa mwelekeo na dira.....sasa hivi wamebaki kushabikia matukio....ilianza madawa ya kulevya wakarukia.....vyeti vya makonda wakarukia.......kutekwa wakarukia chama hakina ajenda yoyote wanayoisimamia Zaidi ya kusubiri matukia
Kapige chabo unawashwa
 
Rais hatoweza kuzuia wizi 100%
Katiba mpya haitoweza kuzuia wizi 100%.
 
mko bize na bashite ndio ajenda yenu kubwa ya kitaifa, na kulaumu tu

mpaka akili ziwaingie mnakuwa vizee kama raila odinga na mnaiacha ccm

muda mwingi upinzani unacheza muziki wa ccm

mnakuwa side moja ya ccm huyu, against ccm yule

next day mnashangaa mmepigwa chini EALA, akili zinakuja ccm ni wale wale, mnaishia kutukana

upinzani ni kama mbwa asiye attack anasubiri paka na panya ndio wabweke!!

THEN......mwisho wake Mnyika anataka CCM waweke mfumo??? ...

Ni muda mzuri wa kuamka na kuwaza tume huru ya uchaguzi, CCM haiondoki kwa hizo wishes, na wala hawatamsiliza, ni nzuri akojoe alale, maana tushasema sana

au kuna jipya??
Arguments zako nyingi ni za kulaumu you never come with a constructive solution the way forward, kama wapinzani ni mbwa wewe tukuite nani fisi unayetoa udenda kusubiri kukumbukwa kwenye ufalme.

Magufuli sio Kikwete mliyezoea kumhadaa kwa vijitetezi vyenu vya kijinga shukuru wenzako angalau wameambulia uDC, nakuona kama uko frustrated na umri umesonga.
 
Duh hii mada imeibuliwa pale Lumumba na haraka UVCCM kukubaliana kuishambulia kwa haraka nyote mkiishobokea chadema.

Duh kiukweli UVCCM ni zaidi ya matahahira
 
Siasa za Matukio Mbaya sana na hii ni kutokana na kuwa na Watu ambao ni Illiterate kwenye Siasa....
Lowasa kwa kua anaijua siasa huwezi kukumkuta kwenye Siasa za Matukio
Bado una imani na Lowassa kumbe?
 
Back
Top Bottom