Recent content by Alelee

  1. Alelee

    JamiiForums Tanzania Kubet ni kazi ya watu wenye akili kama huna akili nenda kijijini ukalime viazi mbatata huko

    Lete tickets za leo bas
  2. Alelee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Niaje wazee? Mwenye ufahamu katika tennis anifahamishe nataka nikabet huko.
  3. Alelee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu hyo code sijaelewa nafanyaje?
  4. Alelee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Poa kiongoz shukran sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Alelee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shukran bro! But wakweli bado hujawajua? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Alelee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Utaliwa kaka,Mimi najarib kufuatilia websites flan hivi ndio nataka nijue kama zinaukweli wowote au la. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Alelee

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba kuuliza na anijib anaefaham tafadhali, hivi zile website zinazodeal na fixed matches katika mpira wa miguu ni salama? Yaan unaweza kutuma pesa ili wakutumie tips ambazo ni uhakika kwa kushinda? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Alelee

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo, mungu anaanza kukosea sasa

    Ukapimwe akili aisee, na ukae ukijua zama hizi ukimwona yeyote anajiita mtume au nabii DIRECTLY,Jua nitapeli na ni mwongo
  9. Alelee

    JamiiForums Tanzania Wale wataalamu wa nyota tabirini hizi mechi

    Shukran kwa somo!!!
  10. Alelee

    JamiiForums Tanzania Wale wataalamu wa nyota tabirini hizi mechi

    Yah,hiyo najua but hii amechagua sehem tu katika page na akaishot
  11. Alelee

    JamiiForums Tanzania Wale wataalamu wa nyota tabirini hizi mechi

    Aisee hii picha umeipataje kiongoz?nijuze pls
  12. Alelee

    JamiiForums Tanzania Team USA Hatushindwi - Njoni tuyajenge

    Team n korea
  13. Alelee

    JamiiForums Tanzania Elnet Africa

    www.elnetafrica.com
  14. Alelee

    JamiiForums Tanzania Elnet Africa

    Nipo dar_ contact/whatsup,0657576488
  15. Alelee

    JamiiForums Tanzania Elnet Africa

    Oya Mbona hivyo???
Back
Top Bottom