Kuna tatizo, mungu anaanza kukosea sasa

Kuna tatizo, mungu anaanza kukosea sasa

Kama ni mungu sawa anakosea lakini sio Mungu! Mungu hakoseagi hata sekunde moja tena biblia inasema Upumbavu wa Mungu ni zaidi ya hekima za wanadamu
 
Soma comments nyingine uone walivyo muelewa mkuu usilete sanaa ktk hili Literal Meaning ya maneno yake yapo Wazi pitia Comments za wengine mbona wamemtukana kabisa au ww ndio ukiyemuelewa sisi wengine wote hatujamuelewa ?
Uwezo wa kuelewa unatofautiana, idadi kubwa ya wachangiaji na misimamo yao sio tija. We muulize hata mwenyewe mtoa mada, itasema hayahaya.

Ni taaluma tu ya kuifikisha Ujumbe, na wengi wamemsoma .
 
tofauti ipo yeye bado ana imani na police . mimi imani na Police hakuna!! maana mpaka wao wenyewe wameuawa !! na bado mauaji yanaendelea. hakuna kanda maalum hapo!! mbwembwe. Nina maana JWTZ waanze hali ikiwa shwari sasa police waingie kudumisha amani!!
Nadhani si jibu la post hii
 
Mtoa Mada ana akili sana unatakiwa utulie uweze kumuelewa Angalia hizi sentesi.
kuna kitu kikubwa naona mungu anafanya makosa kwa sasa

nikisoma maandikombalimbali nagundua kuwa Mungu alikuwa anawaleta mitume na manabii kwa
awamu

Mtoa mada anazungumzia pande mbili tofauti mungu ambaye anakosea na Mungu ambaye aliwaleta
manabii enzi hizo.

Wengi hawajamuelewa hata wakamtusi.
 
Tatizo hamjashituka tu..MUNGU alishatuacha siku hizi anajenga dunia nyingine I think coz dunia hii ya zamani iliahamchosha na tabia mbovu tulizonazo,siku hizi tunaenenda kwa uzoefu tu na si kwa roho
 
kuna kitu kikubwa naona mungu anafanya makosa kwa sasa, nikisoma maandiko
mbalimbali nagundua kuwa Mungu alikuwa anawaleta mitume na manabii kwa
awamu. Si hivyo tu, alikuwa anawaleta kwa uchache tena kwa maeneo maalumu
hususani yale korofi. Pia alikuwa anawaleta kwa dalili na hoja zilizo wazi, pia ikitokea
zama moja kuwa na manabii au mitume wawili au zaidi kwa wakati mmoja basi walikuwa
wanaheshimiana sana.

KOSA, ni hawa manabii aliowaleta leo sijui kwanini amewabadilisha hivi
1. Wanahubiri zaidi kutafuta na kumiliki mali kuliko ufalme wa Mbinguni

2.Anawaleta wengi kwa pamoja halafu wengi wanashukia mijini, mfano
Dar es salaam pekee si ajabu kukuta manabii au mitume mpaka 10

3.Mitume na manabii anaowaleta kipindi hiki hawapendani yaani ukiwasikiliza
kimtindo utajua wanapondana tu.

4. Huduma za maombi kwa hawa manabii wa sasa ni za kulipia.

5. Wengi ni matajiri wakubwa sana sio kama enzi zile za kina Ayubu, Yusufu
Abraham/Ibrahim n.k

Yako mengi wakuu......................................
Kumbe ni mungu na sio Mungu
 
Sielewa kwanini tunaamini kila kitu kilichoandikwa kwenye biblia. Biblia imeandikwa na binadamu..haiwezi ikawa 100% perfect! Sio kila neno lililoandikwa kwenye biblia ni sahihi.
 
Mtoa Mada ana akili sana unatakiwa utulie uweze kumuelewa Angalia hizi sentesi.
kuna kitu kikubwa naona mungu anafanya makosa kwa sasa

nikisoma maandikombalimbali nagundua kuwa Mungu alikuwa anawaleta mitume na manabii kwa
awamu

Mtoa mada anazungumzia pande mbili tofauti mungu ambaye anakosea na Mungu ambaye aliwaleta
manabii enzi hizo.

Emu nipe Elimu ndugu Mungu gani huyo Anaekosea? Jaman mbona mnajifanya nyinyi ni GREAT THINKERS lakini kwahili naona Mmechemsha
 
Hawa waliopo sasa si manabii watokao kwa mungu, bali wanatoka kwa shetani, manabii wa uongo.

Mungu alieumba mbingu na ardhi pamoja na kila kitu kilichomo mbinguni, ardhini na sehemu iliyopo kati ya mbingu na ardhi hawezi kukosea.

Zoezi la mungu kuleta manabii duniani lilikwishafungwa kwa kuletwa nabii wa mwisho (Muhammad) na kitabu kitukufu cha Qur'an.

Fuateni muongozo wa Muhammad na mafundisho yaliyomo kwenye Qur'an.
 
Kampigieni maturumbeta lbd kasinzia
 
kuna kitu kikubwa naona mungu anafanya makosa kwa sasa, nikisoma maandiko
mbalimbali nagundua kuwa Mungu alikuwa anawaleta mitume na manabii kwa
awamu. Si hivyo tu, alikuwa anawaleta kwa uchache tena kwa maeneo maalumu
hususani yale korofi. Pia alikuwa anawaleta kwa dalili na hoja zilizo wazi, pia ikitokea
zama moja kuwa na manabii au mitume wawili au zaidi kwa wakati mmoja basi walikuwa
wanaheshimiana sana.

KOSA, ni hawa manabii aliowaleta leo sijui kwanini amewabadilisha hivi
1. Wanahubiri zaidi kutafuta na kumiliki mali kuliko ufalme wa Mbinguni

2.Anawaleta wengi kwa pamoja halafu wengi wanashukia mijini, mfano
Dar es salaam pekee si ajabu kukuta manabii au mitume mpaka 10

3.Mitume na manabii anaowaleta kipindi hiki hawapendani yaani ukiwasikiliza
kimtindo utajua wanapondana tu.

4. Huduma za maombi kwa hawa manabii wa sasa ni za kulipia.

5. Wengi ni matajiri wakubwa sana sio kama enzi zile za kina Ayubu, Yusufu
Abraham/Ibrahim n.k

Yako mengi wakuu......................................

Naona umekurupuka kumshutumu muumba wako ambaye makosa yake uliyoyaona ni zaidi ya ufikiri wako na Maarifa yako yote, lakin pia naona umesahau kwamba wewe pia ni miongoni mwa watu mnaogombaniwa na Mungu pamoja na shetani hivyo kumshutum Mungu pekee inadhiilisha kiwango cha upumbavu wako. Kwa ufupi tambua kuwa Mungu anaposimamisha hata nabii mmoja mwenye haki ibilisi nae anasimamisha hata manabii 1000 wa uongo ili kupingana na mpango wa Mungu. Maana yangu hapa ni kuwa katika hao manabii wote uwaonana labda tuseme wako 1000 bas utakuta Kati ya hao wa 5 pekee ndo wanafanya mapenzi ya aliye juu. Wenye uelewa zaidi wanaweza kuongezea lakini ndugu chunga sana kinywa chako maana Mungu haziakiwi.
 
Wanasema wenyewe wameletwa na mungu, mi naona tu wafuasi weeeeeeengi
si ndo nikajua mungu kawatuma.
Wahenga walisema ; Wajinga ndio waliwao

Na mjini hapakosi washamba, na wafata mkumbo

unadhani ukiwa kama Bendera Fata upepo, unapepea tu kama bendera ya Katibu kata..
watakupeleka mpaka shimoni
 
Najiona fahari kuwa mkatoriki habari njema kwa wote bila masharti yoyote. Tajiri maskini wote w Mungu. Asante sana wazazi wangu kunionyesha njia sahihi ya imani yangu. Ntawatumia Roho yeye atakayewajulisha katika habari za dhambi haki na hukumu yn 16:8.
 
Sema kulingana na dini yangu, .........sababu kulingana na dini zingine hao si manabi bali wapiga dili, kwa dini zingine Muumba hakosei, kwa dini zingine mtume wa mwisho ameshakuja na hatokuja tens mtume mwingine, hivyo unakosea unapo generalize kauli yako kanakambwa kila mtu anafuata unacho amini we we.
 
Na ukiona ulikosea njia rudi Mara moja kabla ya kiyama maana milango ya Kanisa iko wazi kwa ajili yako uwe maskini tajira mchafu au msafi umevaaa suti au mtumba karibu sana Bwana anakuita.
 
Siku zote nasema kuwa Mungu ni mmoja tu na ndiyo huyohuyo pekee na mitume yote walikuwa ni kitu kimoja hawakutofautiana,ila sie ndiye wenye kutofautiana hali ya kuwa Mungu ndiyo yule yule hajabadilika na mitume yote ilileta ujumbe kutoka kwa Mungu huyo huyo mmoja.
 
Back
Top Bottom