Recent content by Alabtal

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

    Wangesubiri siku ya wito,kimbelembele ya kujipeleka kuonesha hawajali imewagharimu,manji alisema hawezi kwenda Ijumaa akakae kwenye folleni ya kusubiri kuhojiwa,hapo amefundishwa tii sheria bila shuruti,badala ya kusubiri foleni ameoneshwa nguvu za dola,sio nguvu za pesa zinamweka juu ya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hivi 2020 Magufuli atatumia njia gani kuomba kura?

    Atapita bila wasiwasi,wewe usiejua maana,baki hivyo hivyo,utakuja kumwelewa huko mbele[emoji4]
  3. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: I wish I could be IGP; Ni kuhusu wale wanakwaya pale central

    Rais yuko sawa,kuwa na mapesa sio kuwa ndio uone kila sehemu utasujudiwa,weka lupango tu,kama alizowea kutetemekewa sasa ajue sio kote kuna udhaifu,[emoji23][emoji23][emoji23]
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kumamoto University inashikilia nafasi ya 19

    Tukiwapeleke wanawetu huko,tutaelezeaje jamii?[emoji12] [emoji12] [emoji3]
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Complicator wacha complication zako , ni utoto[emoji48]
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hivi mchango wa Tundu Lissu CHADEMA ni upi?

    Ushauri ni first class,mna macho hamuoni,mna masikio hamsikii ni hamuambiliki,[emoji23][emoji23]
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hivi mchango wa Tundu Lissu CHADEMA ni upi?

    Ushauri ni first class,mna macho hamuoni,mna masikio hamsikii ni hamuambiliki,[emoji23][emoji23]
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho; Kiusalama, Tundu Lissu kumwambia Rais kuwa "ameropoka" ni kosa kubwa sana

    Uropokaji umemfikisha Lema alipo,haya tumwone na yeye Lissu ataishiaje!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Bloomberg: Kampuni za Uturuki na Ureno zashinda tenda ya ujenzi km 400 reli ya kati

    Barbarosa[emoji106]jibu safi,wa tz tunakasumba ya ujuaji kuliko wataalam wenyewe,au ni kimbelembele tu?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Iraq yajibu mapigo marufuku mmarekani kwenda Iraq

    Wengine hamjaenda shule?au hamjui dunia?Technologia sio inatokea usa tu,Ulaya,china,india,korea,russis wako advanced na usa sio tegemeo,fungukeni !
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mzazi wangu alifariki miaka takribani mitatu iliyopita lakini namuona ndotoni

    Huenda alikuwa anakupenda sana au wewe ulimpenda na kumjali mtolee sadaka mara kwa mara kwa kulisha maskini au yatima na kumwombea dua
  12. A

    JamiiForums Tanzania Madiwani wamfutia hati ya umiliki shamba mwenyekiti CCM Monduli

    Madiwani wana mamlaka kufuta hati miliki? Au mnajipa faraja
  13. A

    JamiiForums Tanzania Serikali na unyanyasaji kwa Mbowe

    Bak hilo ni deni,sio ukwepaji ! Tofautisha
  14. A

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Jan 2017: Mbowe must go

    Shida ipi ? Kwani ana nini kuwa tishio kwa CCM?
Back
Top Bottom