Recent content by ALABI MLWILO

  1. A

    Waliofeli Kidato cha Pili kuendelea na Masomo

    Nothing is simple unless you know it, the excellence starts with you! Watu wanajiuliza kwanini matokeo yamechelewa? Kumbeeee!
  2. A

    Waliofeli Kidato cha Pili kuendelea na Masomo

    Operation Tokomeza kidato cha pili sasa hakuna, hii inaitwa vunja moyo walimu, BRN ni ulaya tu ndo wanaweza sisi hakuna kitu, nimeshindwa kushangaa, ndugu watanzania tunakwenda wapi na nchi hii? My God! Walimu popote mlipo nawapa pole sana, hii ndio serikali ya Tanzania. Eti waliofeli...
  3. A

    CHADEMA yafunika Mabaraza ya Tume, CCM, maelfu wajitokeza kujadili, kutoa maoni

    Chezea chadema wewe,jipange' 2015 ng'adu kwa ng'adu, mpaka kieleweke, tabora mpoooooo! Badilikeni sasa!
  4. A

    Mangula, Msekwa wampinga Nape mgogoro Bukoba,mgogoro sasa wahamia CCM Taifa

    CCM waache uzushi, inatakiwa wawe wanamsimamo mmoja,inawezekana wanaogopa uchaguzi ukiitishwa wanaweza kupoteza viti vyote kama yaliotokea huko arusha.
  5. A

    kata ya nsenda-Urambo Tabora kumenukaa,watu wanakimbia makazi yao!

    Nikweli kabisa wakazi wa nsenda wilayani urambo mpaka dakika hii wananchi wanayakimbia makazi yao, nawapa pole sana kwa familia iliyopoteza watu wao kwa kwa hao majambazi. Mi namshauri diwani wa kata hiyo achukue hatua ya haraka akishirikisha viongozi wa wilaya na polisi ili kuwasaka hao...
  6. A

    Mbiu imelia,CHADEMA kuwasha moto tarehe 21.07.2013 Dar

    Mi niwatakie kila raheli viongozi wa CHADEMA katika mkutano huo na tuwaombe mtufahamishe pia mstakabali wa nchi tunakokwenda kama mimi sielewi vile,
  7. A

    Said Mohamed Saad - Mmiliki wa Home shopping Centre, amwagiwa tindikali!

    Tanzania ni nchi ya amani,jamani hayo mambo yakumwagiana tindikali yanatoka wapi tena,ivi kuna mwananhi asiyejua kuwa Tanzania ni kisiwa cha amani? Tafakari!
  8. A

    Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

    Wangapi wanaoongoza familia zao vizuri lakini kwenye uongozi wanafanya vibaya? Hicho sio kipimo sahihi.
  9. A

    MATOKEO Arusha, here goes the power of M4C, asanteni Arusha, asanteni Watanzania

    Ikulu sio mahali pa ufisadi,ikulu ni mahali patakatifu. Tunammkumbuka mwalimu!
  10. A

    Kifo cha CCM kimetimia

    Nawashauri viongozi wa chadema kuwa makini,hao wameshazoea wizi
  11. A

    Siipendi CHADEMA

    Vuta subira itafikia mahali utaipenda tu!
  12. A

    Big Results Now: Karibuni Mlimani City - July 03, 2013

    Huu mpango wa BIG RESULT NOW (BRN) inaonekana upo katika wizara zote,mimi nijikite katika wizara ya elimu,mpango huu utafanikiwa endapo serikali itashirikisha jamii nzima wakiwemo wanasiasa lakini serikali pia ishughulikie kilio cha walimu. Vilevile wa darasa la saba wanaojiunga na kidato cha...
  13. A

    Natafuta male friend

    wewe uko wapi au unatafuta mwanaume wa kukupa company awe na sifa zipi na awe katika mkoa gani?
  14. A

    Michelle obama apata adhabu airport

    naye angepiga tenge la ukweli, i think marekani hakumaga tenge, alipendeza lakini au
  15. A

    Watoto wa obama ni '

    we hujui kuwa ile ndege inamadarasa na walimu?
Back
Top Bottom