Zanzibar-Nyamwezi
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,244
- 766
Hawa Ghasia anavaa kiarabuKujifunika mavitenge ndio kujuwa kuvaa?
Kila mtu ana utamaduni wake, alivyovaa Michelle ndio utamaduni wa Kimarekani, msitake kulazimisha kila mtu aishi kama nyinyi.
Huyo Salma kama anajuwa sana maadili amuige Hawa Ghasia ndivyo Mwanamke wa Kiislamu anavyopaswa kujisitiri, nywele zake asubili akiwa na Mkwele chumbani ndio amuoneshe.