DMussa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 1,310
- 302
DMussa, wapi hivyo viambatanisho, au mnataka mje kutupatia hapo hapo uwanjani, wekeni hapa mapema tuvipitie, tuvijadili na kuvikiria kabla ya kuja kuwaeleza tunaona nini ndani yake.
Mkuu am just an interested party like you, siko ndani ya hiyo timu wala ndani ya serikali ya JK, its only that I got concerned about wachangiaji wa mwanzo kwenye hii mada.
Tumuulize muanzisha thread atupe viambatanishi