Recent content by al1

  1. al1

    JamiiForums Tanzania Ni nadra kusikia Wachina Wamekuja Mbuga za Wanyama Kutalii. Au China iko full Milima, Parks na Mazaga yote?

    Sahihi mkuu kama season iliyopita Kila chuma nlikuwa napishana nayo hapo senapa imebeba macho ndogo mpaka nikajiuliza kwani wazungu wamekufa wote?
  2. al1

    JamiiForums Tanzania 1/3 ya pesa za el nini zimetafunwa Kwa vikao, na sioni el nino

    😹😹😹dahhh eti pesa za el nino.
  3. al1

    JamiiForums Tanzania Ni nadra kusikia Wachina Wamekuja Mbuga za Wanyama Kutalii. Au China iko full Milima, Parks na Mazaga yote?

    Mkuu wachina ndo nyomi tangu covid iishe kuliko hao wazungu, fatilia vizuri hapo Serengeti.
  4. al1

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kujenga naye familia❤

    Join JF Thursday.
  5. al1

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa Addicted na Wamama Wakubwa

    Mkuu hao wamama ndo wenye Ile grade one ambayo walistruggle nayo miaka ya buku mbili kabla ya njugu.
  6. al1

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo mbona hata kwenye orodha ya mabilionea wa Africa hayupo ?

    Mkuu huyo ndo Chief godlove wa Zimbabwe alichomzidi wa bongo ni koneksheni tu.
  7. al1

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya waziri mkuu mpya, usisome uzi kama una hisia za kidini

    Kwani yule bwana fiat ametumbuliwa.
  8. al1

    JamiiForums Tanzania Vita ya kuwania madaraka ya urais 2030 ndani ya CCM inaweza kuleta anguko lake

    Kwa Sasa ndani ya mboga mboga hamna mgalatia anaeaminika kupewa kiti.
  9. al1

    JamiiForums Tanzania Naomba mkopo wa tsh 20,000

    Mkuu taasisi za mikopo zipo Kila Kona.
  10. al1

    JamiiForums Tanzania Clip ya Lameck ni ya kutengeneza, ila wacha yawakute wajue umuhimu wa kuungana na wapinzani kudai Katiba mpya

    Mkuu au Kwa vile Hana skafu ya bendera ya Tanganyika?
  11. al1

    JamiiForums Tanzania dental formula yako inavutia? Leo nimeambiwa nina dental formula nzuri

    Mkuu tupe kapicha.
  12. al1

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa Addicted na Wamama Wakubwa

    Soon unakula umeme mkuu.
  13. al1

    JamiiForums Tanzania Kumeibuka wimbi la wadada wa Instagram kuwa na mafanikio ya haraka hii imesababishwa na nini?

    Mkuu wengine wanalima na kuuza nafaka, kama valenafaka
  14. al1

    JamiiForums Tanzania Mapya kifo cha dude

    Mkuu marekebisho kidogo hapo "BWANA asipoulinda mji waulindao wakesha bure" ova
  15. al1

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

    Mkuu mpaka uone picha ya utumbo ilivyo mwaga samadi ndo uamini?
Back
Top Bottom