Ulinzi kwake ni Muhimu kabla ya 13:08:2026

Ulinzi kwake ni Muhimu kabla ya 13:08:2026

Ina maana peter msechu aingei studio kabisa achie kipande kidogo tu cha jina ila wimbo wote arecord tupe maelekezo au code ngumu hii ujui ni yule ngoni tribe, au boby marley mpya in town au makamo mwenyekiti kweli amangana gasalikile mbombi ngafu twafwaa
 
sijaelewa, 13:08:2026 ni time au tarehe? kwa maana kwangu kichwa cha habari kinasomeka ni saa 7 mchana na dakika nane hiyo 2026 sijui ni nini, au kama ilimaanishwa tarehe basi ilipaswa kuandikwa 13.08.2026, kuna tofauti na siyo ndogo, inamata sana kwa maana ni vitu viwili tofauti ...
 
Back
Top Bottom