Recent content by AL-bajouny

  1. A

    JamiiForums Tanzania Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Wacha kudanganya uma km ni udhalimu hadi leo watu wa unguja na pemba wanafanyiwa mkoloni nani
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wapemba na upepo wa mabadiliko

    asigwa[emoji3] mimi kiswahili najua na nakifahamu vizuri kwani nimezaliwa uswahilini na nimezaliwa na waswahili sijawahi Rashid kuita Lashidi japokua baraza la kiswahili lipo kwenu lakini waswahili ni sisi na tutabaki kua sisi
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wapemba na upepo wa mabadiliko

    Kwakweli hakuna asiijue pemba kua nikisiwa cha pekee chanye watu aina ya pekee kisiwa hichi ni maarufu sana tokea dakhar na dakhar kilianza kutambulika tokea zama za nabii Suleiman hadi Muhhamaad (s.a.w )watu wake ni wastaarabu na waloijua dini tokea zamaa hizo walijifahamu ni nani na wanaelekea...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Pemba ilikua na pesa yake ambayo ikiitwa Pemba rupes

    Zama zimepita wengi wetu hatufaham kua pemba ilikua na pesa yake ambayo ikiitwa Pemba rupes ambayo ilikua na nembo ya karafuu mbili na ilitumika kuanzia 1940 chini ya utawala wa sultan Sayyed wakati huo zanzibar ikijulikana kwa jina is dola ya Zanzibar
  5. A

    JamiiForums Tanzania China kuhamishia sehemu ya viwanda vyake Tanzania

    Hatuja ona vibaya km wazanzibar kwani anacho kisema Ali kesi ndio uhalisia ulivo bali alikuakua anatutanabahisha wazanzibar tusojielewa tujifaham kua nafasi yetu ni ipi katika muungano huu
  6. A

    JamiiForums Tanzania CUF: Wasiotaka Serikali ya Umoja wafukuzwe

    CCM wamefilisika na hoja hata ukisikia matusi ujue kashindwa mapambano
  7. A

    JamiiForums Tanzania Updates: Mkutano wa CCM uwanja wa Gombani, Pemba

    Hahahahaaa hiyo ni bashrafu tu mvua 2015
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mfahamu marehemu Sheikh Ali Muhsin Barwani (1919 - 2006)

    Al habiby tunapata faraja sana na darsa yako ila tuwekee na kiswahili ila na wengine wafaidike
  9. A

    JamiiForums Tanzania SWALI: Pwani ya watu weusi a.k.a Zanzibar halisi ni Kisiwa kipi? Historia inahukumu.

    Wewe hujua hata unachokisema historia yako ya unguja ukuu hiyo hata huyo sultan alianzia Pemba kupambana na Mreno ndio akafika unguja ila tukukumbushe wapemba hawakuzoe kutawaliwa ndio maana sultan hakukaa Pemba
  10. A

    JamiiForums Tanzania Zanzibar hiyooo, Tanganyika kimyaaaa

    Zanzibar itabakia kua Zanzibar milele na wazanzibar watabaki kua wazanzibar hao wasaka tonge wanamwisho wao
  11. A

    JamiiForums Tanzania Shekhe Jongo analia bungeni sasa!!

    Mimi sijui maana ila huwasikia viongizi Wa siasa kua dini na siasa nitofauty jee?serekali mbili na mahakama ya kadhwi nimoja
  12. A

    JamiiForums Tanzania Shekhe Jongo analia bungeni sasa!!

    Sheikh Ahmed amlilia nyerere kutukwanwa ila hatujapata kusikia kalia kwa kutukwanwa Mtume Muhammad (s.a.w)ivi huu ni uchamungu unafik ama posho ya laki tatu ivi Huyu ni kadhwi au kazi Wa kuvunja ndoa za watu tuweni makini Hawa yasije kutufika Yale ya wafuasi Wa Nabii Mussa walio Abudu ngombe...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 22 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Kasahau fadhila alipo pokewa akasema kaja kusoma dini sisi hatukumsomesha siasa yeye na mungu wake
  14. A

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Lukuvi kutimia. Sasa CHADEMA nayo imeingia kwenye mtego mzito!

    Sultan Zanzibar ni kwao km hujui uliza wanaojua
  15. A

    JamiiForums Tanzania Muko wapi Sultan Jemshid na Sheikh Shamte

    Vipenzi vyetu sayyid jemshid na sheikh Muhammed Shamte wakati wakila viapo kuitumikia Zanzibar jamuhuri ya watu Wa Zanzibar iliokua huru
Back
Top Bottom