AL-bajouny
Member
- Apr 7, 2014
- 37
- 8
Kwakweli hakuna asiijue pemba kua nikisiwa cha pekee chanye watu aina ya pekee kisiwa hichi ni maarufu sana tokea dakhar na dakhar kilianza kutambulika tokea zama za nabii Suleiman hadi Muhhamaad (s.a.w )watu wake ni wastaarabu na waloijua dini tokea zamaa hizo walijifahamu ni nani na wanaelekea wapi waliweza kujitawala na kupanga uwongozi bora kwa watawala na watawaliwa walimiliki uchumi wao na kuweza kuuwendesha bila misaada ya majirani kiongozi mkuu wakisiwa hicho akiitwa diwan
Kama vile diwani Abubakar Salim Ngwachani mnamo karne ya 16/17waliingia wareno na hapo tawala na dola ya wapemba ilianguka na ndipo ukawa mwanzo wasiasa kwa wapemba walipigania haki yao na kulinda haki za watoto na vizazi vyao ila zilikua chache nguvu zao na kukosa mafanikio ya ushindi wa asilimia 100% walibaki na nusu tawala ambazo hazikua na mafanikio ya kimaendeleo zidi yao ila wapemba hawakurudi nyuma walisonga mbele na kubadilika pale ambapo karne moja ikibadilisha nyengine
Wamekua wakifuata wakati na kuendesha siasa kutokana na sizan ya wakati hawajawahi kurudi nyuma na umekua ni urthi unao endelea kadr kizazi na kizazi kinapozaliwa jee ndoto ya wapemba itatimia?