Recent content by akukudanger

  1. A

    Kuyumba na kufa kwa UCC, Chuo Kikuu UDSM chatoa ufafanuzi

    Hakika hii ni hoja nzito nadhani Waziri mwenye dhamana ya Kazi na Waziri wa Elimu pamoja na VC waingilie kati. Bila kusahau Takukuru.
  2. A

    Kuyumba na kufa kwa UCC, Chuo Kikuu UDSM chatoa ufafanuzi

    UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM COMPUTING CENTRE TAARIFA KWA UMMA KUTOKA KWA WAFANYAKAZI WA UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM COMPUTING CENTRE (UCC) KUJIBU TAARIFA YA PROF. MAKENYA A. H. MABOKO (MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA UCC) ALIYOTOA KWA UMMA HAPO TAREHE 1 OKTOBA 2018 1. UTANGULIZI...
  3. A

    Kuyumba na kufa kwa UCC, Chuo Kikuu UDSM chatoa ufafanuzi

    TAARIFA KWA UMMA KUTOKA KWA WAFANYAKAZI WA UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM COMPUTING CENTRE (UCC) KUJIBU TAARIFA YA PROF. MAKENYA A. H. MABOKO (MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA UCC) ALIYOTOA KWA UMMA HAPO TAREHE 1 OKTOBA 2018 1. UTANGULIZI Taasisi ya University of Dar es Salaam Computing Centre...
  4. A

    Rafiki yangu anatembea na mke wa mtu

    Kwani huyo rafiki yako anaye mke? kama anaye kamwambie mke wake na rafiki yake pengine kuna kitu amekikosa kwa mkewe hadi anachukuwa wa wengine. Kwani huyo rafiki yako anaye mke? kama anaye kamwambie mke wake na rafiki yake pengine kuna kitu amekikosa kwa mkewe hadi anachukuwa wa wengine.
  5. A

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Kwakweli pole sana kwa hayo yaliyotokea inauma sana tena kwa plan zenu ambazo mmepanga kwa ajili ya maisha yenu alafu shetani anakuja na kuvuruga.kiukweli kwa wakristo uzinzi wa aina yoyote unavunja ndoa vinginevo muhusika uamue kusamehe na yeye muhusika Mme aonyeshe jitiada za pekee.kuanzia kwa...
  6. A

    Benjamin Ndalichako arudisha fomu Umeya Jiji la Dar

    Kila la heri Bwana Benja Mtoto wa Mfalme
  7. A

    Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatano tarehe 10 Septemba, 2014 - Bunge litaendelea kama kawaida

    Hivi amri ya sita inasemaje? Na 666 ina maana gani? Na mheshimiwa sita anahusinaje haya? Tusimhukumu kwa matendo yake hata na jina tuu ni jibu tooosha kabisa.
  8. A

    Ungekuwa wewe ungefanyeje?

    This is foolish age!!! Ila lazima watu wazima kama sisi lazima tukupe ushauri.Kama bado unasoma wewe maliza shule yako hadi chuo kikuu,tafuta kazi ndo utajua kumbe ulikuwa unawaza karibu sana.Maana baada ya hapo utahitaji kuwa na familia,Muda huo ndo muhafaka wa kumwombw Mungu akupe mke mewma si...
  9. A

    Dr Francis Michael Umetuangusha Kwa Hoja dhaifu katika dhana ya utafiti

    Tuwasamehe tu hawa wasomi ni vilema pomoja na elimu zao,sisi wakristo tunaamini kuwa mtume wa yesu Yuda iskariot alimuuza ya baada ya kupata mlungura sembuse hawa wasomi wengi wao na imani haba washindwi kula kidogo kutoka kwa maccm-ccm kama yeye anavyosemaga ''mizumbemizumbe'' dr. f.m
  10. A

    Tamko la wapemba waishio Tanzania bara kuhusu Muungano

    Mimi ninayojua hadi sasa hivi rais wangu wa tanganyika ni mh.peter kayanza pinda,na wa muungano ni dk jk
  11. A

    Katika katiba na haya tuyaangalie kwa umakini lakini

    Waasisi walituachia mambo 21 (ukiacha usajili wa vyama) kwenye orodha ya Muungano. Katika kipindi cha miaka ishirini iliyopita yamepunguzwa. Mambo yote yaliwekwa kwa utaratibu uliowekwa na Katiba lakini yameondolewa kinyume na Katiba." Iliongeza: "Sehemu zote mbili ziliamua kuachia baadhi ya...
  12. A

    James Millya na Ally Bananga hatufukuzwa CCM kama Juliana na Mwampamba walivyofukuzwa CHADEMA

    Natoa angalizo;Kama kweli wewe ni mtanzania uliye bahatika kujitambua shukru Mungu,pia kuanzia sasa hakikisha unawaokoa watanzania wenzako wakaepukane na Shetan Ibilis CCM hakika na kwambia kama ilikuwa ujui ni hivi maana ya ccm ni chama cha mapinduzi wayajua mapinduzi ni nini?????????sikia...
  13. A

    James Millya na Ally Bananga hatufukuzwa CCM kama Juliana na Mwampamba walivyofukuzwa CHADEMA

    Ukitaka kujua kwamba kwa sasa magamba yamepanwa kweli kweli kila idara tazama Kinana mzee wa kaa mbali na tembo,alivyopanwa na Kamanda Peter Msigwa juu ya pembe za Ndovu siku hizi anazidi kukonda maana Meli yake yenye tani za bange na mirungi ilikamatwa Italia pesa yote wanayotumia kudhoofisha...
  14. A

    James Millya na Ally Bananga hatufukuzwa CCM kama Juliana na Mwampamba walivyofukuzwa CHADEMA

    Naunga mkono sana wakuu, unajua haya magamba hayana hata punje ya fikra,wao uwaza ngono na unga!!!!!!!!pia kupora ardhi na rasilimari za watanzania,pum..........vu zao
  15. A

    Mbowe atolewa nje ya bunge

    Ndugai yupo kichama wala sio mtanzania achunguzwe uraia wake kukaa katikati ya nchi sio hoja ya kusema ni mzawa huyu.weeeeeeeeeee nduga weeeeeeeee ushindwe na ulegee kwa jina la yesu
Back
Top Bottom