Kuna msichana alikuwa ananipenda ila mimi simpendi,alitaka hata kunywa sumu kwa ajili yangu mama yake alivyoona hivo akamuamisha kabisa sehemu tuliyokuwa tunakaa na kumpeleka kwa baba yake Dsm huku akisoma,alikaa huko kwa miaka 5,
Alivyorudi mwaka jana alipendeza na alikuwa mzuri kuliko mwanzoni,mimi nikaanza kumpenda nikamfuata nikamueleza akanikataa kisa mimi nilimkataa kipindi kile;lakini baadaye akakubali na akakataa kusex na mimi hadi akarudi Dar;
Nilifanya utafiti ilionekana ---- mtu alisex nae alivyorudi huku,mimi niliendelea nae kuwasiliana kwa njia ya simu lakini alinipa maumivu makubwa hadi kiwango changu cha ufaulu darasani kikashuka kwa sababu aliwahi kunifanyia kitukö ambacho sijui kukisahau;
Nilikuwa shuleni mwaka jana nikiwa form 4 nasubiri mock,nilmpigiaga simu akakata na kuzima baadaye akawasha nampigia hapokei,ukituma text kwa mtu mwingine anajbu,hiyo ikanifanya nisisome kwa miezi 4 hadi nilpoingia kwenye paper kisa stress za mapenzi,
Toka nilipompotezea na maumivu yakaishaga,cha ajabu matokeo ya 4m 4 yalipotoka na nilipata 2 akaanza kunitafuta eti ooh nilpoteza namba yako sijui mara ooh;me kwa sababu nilikuwa nampenda nikamkubalia tena;
Sasa cha ajabu bado alikuwa ananifanyia vitu vya ajabu na nikampima kwa simu nyingne nikagundua ana mchizi mwingine huko Dsm,
Nakamuuliza akasema hana na hajawahi kusex,me nikamtajia hadi jina la mtu wake wa huko ambaye alitaja mwenyewe nilipompigia kwa simu nyingne akasema hiyo mtu hamjui;
Sasa jamani nifanyeje kuhusu huyu msichana mana naona ananiumiza moyo wangu tu lakini nina kama week 3 nimekata mawasilìano naye kwa kubadilisha line lakini nahisi bado nampenda