Recent content by Akimuz

  1. Akimuz

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tusaidie huyu kigogo wa CCM Kilosa anatuonea wananchi

    Taja jina lake kamili huyo kiongozi ili tuweze kuchunguza uhalisia wa Jambo.
  2. Akimuz

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ha ha ha haaaa bro ako alikua fala kwl, et unatembea na watu wazima.
  3. Akimuz

    Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

    UZI HUU UMENIKUMBUSHA MIAKA MIWILI ILIYOPITA DAAAAAAAH: Mikopo Mikopo Mikopoooooo. Mikopo ni moja ya janga kubwa kwa watumishi wa serikali walio wengi, hasa Wanajeshi/Askali police/Walimu n.k Mfanyakazi mwenzangu alikua na demu wake mtamu kiac chake walikua wanaishi pamoja Kama mtu na demu...
  4. Akimuz

    Sabufa aina ya Pineetech pt v3 zina mfumo wa remote?

    Achana nazo, ikiharibika bidhaa zake ni kazi kupata.
  5. Akimuz

    Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

    Wake zetu wanapunguziwa mizigo/shughuli na Hawa watu.
  6. Akimuz

    Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji370]
  7. Akimuz

    Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

    Duuuuu, kumbe ishu ni kujiheshimu tu.
  8. Akimuz

    Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

    Nimesoma Makala yako mwanzo mpaka mwisho, nimeweza kuelewa ulichokielezea kuhusu wahudumu wa bar. Kwa ushauri tu kile kichwa chako Cha habari nadhani hakiendani kwa % kubwa na maudhui uliyoyasema. Mf ishu Kama kupigwa, kuambukizwa magonjwa, kurogwa, utu wao kudhalilishwa n.k hvyo huwezi kuviita...
  9. Akimuz

    Nahitaji kukopa milioni 9, makato yakoje?

    Tumia hicho kipato chako cha laki 5 kujenga. Achana na mkopo wa Bank utajutaaaaa.
  10. Akimuz

    Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

    Misaada hainaga tozo ya Kodi. Leo hii sirikali wanaleta hoja za kodi, thus y kuna huo mgogoro.
  11. Akimuz

    Ni ngumu kumwacha/Kumsahau mwanamke anaekupa Papuchi kila mara unapoitaka

    Ha ha ha ha haaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Akimuz

    Utabiri wangu mechi ya Simba na Yanga, tarehe 8 Machi

    Siku zote wa kwanza ni wa kwanza tu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Akimuz

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Watu weweeeee..................... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom