Recent content by akilinzuri

  1. akilinzuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfuate au nikomae tu?

    Sioni swali hapa, kama wewe no mwanaume tuone uanaume wako, kama asubuhi unakunywa juisi je mchana utakunywa Chai akili kumkichwa.
  2. akilinzuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili kumi za msichana anaye kucheat

    Hii ya 10 kunaambae niko naye tangu majuzi ni anchati Huyo akija geto anakaa anachati weeee, eti nini wadau
  3. akilinzuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusaidiane kumshauri; Ameamua kuokoka mke anadai talaka

    Wanawake hawajui nini wanataka.
  4. akilinzuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jumapili ya leo tuwaombee wanaume wanaoona haya ni ndoto kwao

    Hiyo SMS ya mwisho, ndio imebeba hizo nyingine
  5. akilinzuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mimi ndio mzembe au binti ndio kazingua?

    Pimbi wewe
  6. akilinzuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi fanya mapenzi na mtu ambaye hukumdhania?

    Zingatieni kichwa cha Uzi, kama haijawahi kukutokea usituchoshe. Mimi Ilitokea nikamla Dada 1 mpaka nilipomwambia ndugu yangu , 1,akauliza kwa mshangao "umewezaje!!" Sikuwahi kuwaza kama nitamla huyo binadamu hiyo imenipa kujua yeyote analika. Na mapenzi hayana fomula.
  7. akilinzuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Alilipaje?
  8. akilinzuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nitumie mbinu gani kuongea na baba aachane na mchepuko wake?

    Huo ujasiri wa kumuuliza baba utumie kumuuliza mama anakwama wapi mpaka kazidiwa nahuyo mchepuko wa dingi
  9. akilinzuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mnafiki wewe unasoma nyuzi za watu halafu unaleta, ujuaji huku tayari ushasoma masihara ya wengine, kama kweli usiingie kabisa humu
  10. akilinzuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ameniacha njiapanda

    Piga makofi
  11. akilinzuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

    Ujengewe mnara posta
  12. akilinzuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    We kiazi kweli hata hujui kimasihara nini.
  13. akilinzuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli za wanawake "bila mimi usingefika hapo ulipo"

    Mmoja aliniambia kila mwanaume anekaanaye lazima akiwa naye, afanikiwe nashangaa nimefanikiwa wakati tumeachana kitambo, nakuhama ile wilaya.
  14. akilinzuri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

    Mvivu wa kufikiri.kwani.huyo.wanaume ni kikoba au sakosa.kwanini.usiende.wanakotoa.hela? Kila mtu anashida ww ya hela yeye ya mapenzi no free lunch in America.
Back
Top Bottom