Recent content by Akilimali22

  1. Akilimali22

    JamiiForums Tanzania Samaki aina ya 'Salmon' kwa Kiswahili anaitwaje?

    Sardines ni dagaaa
  2. Akilimali22

    JamiiForums Tanzania Hivi Wachagga wanacheza soka? Nimewahi kuwasikia akina Mwakalebela, Minziro, Masatu lakini siyo Massawe au Mushi!

    Deo munis,john makelele,Christopher Alex masawe
  3. Akilimali22

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtu anayeweza kunikopesha kwa kuweka dhamana ya camera

    Mwanmke au mwanaume?
  4. Akilimali22

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtu anayeweza kunikopesha kwa kuweka dhamana ya camera

    [emoji1787][emoji1787]
  5. Akilimali22

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mtandao Kariakoo

    Kampuni za simu nazitaja kwa majina Voda, Tigo, Airtel na wengine mna tatizo la mtandao maeneo ya kariakoo kipande cha barabara ya uhuru mpaka mtaa wa mafia ukizunguka huku mpaka barabara ya msimbazi.. Hoja yangu ni kwamba, wafanyabiashara wengi wanategemea simu,na hasa ss hvi biashara...
  6. Akilimali22

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

    Hasa kule kigamboni lori zinakimbia sana na ile njia ya kongowe kuelekea kigamboni ni hatari sana malori yanaenda hovyo sana
  7. Akilimali22

    JamiiForums Tanzania TAA DARAJA LA NYERERE/KIGAMBONI

    Kuna ubaya gani mkituwashia zile taa za rangi pale kwenye daraja la Nyerere /kigamboni... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Akilimali22

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wabebe maiti?

    kabisa tuko pamoja Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Akilimali22

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wabebe maiti?

    Ikiwa tuna Hospitali za mikoa na rufaa na magari ya hospital yapo kwanini Polisi wabebe maiti? Utakuta kuna matukio mengi tu yanatokea ikiwa mauaji, ajali au maiti zilizotelekezwa njiani na majumbani kwanza wataitwa Polisi. Kwanini Polisi nao wasi link na hospital waje pamoja? Sababu: Polisi...
  10. Akilimali22

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini coca cola na fanta za Kenya Zina radha nzuri kuliko za Tanzania?

    Ulivoandika tu radha nikajua uwezo wako uko wapi...
  11. Akilimali22

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

    Na ww fanya kwnye simu yako vyoteeee ulivoviona alafu iweke hyo simu aje ashike
  12. Akilimali22

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuoa

    Inaonekana huna kitu
  13. Akilimali22

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi ni mabubu kitandani mjiongeze

    Wewe unaetaka kelele njoo
Back
Top Bottom