Akilimali22
Senior Member
- Jun 7, 2015
- 167
- 90
Kampuni za simu nazitaja kwa majina Voda, Tigo, Airtel na wengine mna tatizo la mtandao maeneo ya kariakoo kipande cha barabara ya uhuru mpaka mtaa wa mafia ukizunguka huku mpaka barabara ya msimbazi..
Hoja yangu ni kwamba, wafanyabiashara wengi wanategemea simu,na hasa ss hvi biashara mtandaoni.Imekua ngumu kupata mawasiliano ukiwa kwenye majengo ya maeneo haya, inalazimu mtu aache duka lake atoke nnje ili awasiliane na mteja au mawasiliano mengine ya kawaida, inawalazimu watu sasa hv kufunga WIFI je nyie kampuni nilizotaja hapo juu hamjaliona hili?
Boresheni huduma zenu maeneo haya .hali ni mbaya ya mawasiliano tukiwa ndani ya majengo ya kariakoo hasa haya ya biashara.