Recent content by akili_ninazo

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani umezumgumzia kifo Ashly Robinson (31), aliyefariki dunia April 9, 2026

    Raia wenu kivipi! Mkuu wewe ni msukuma tu.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ulimwengu Umeundwa Mahususi kwaajili ya ku support Uhai kama mtu anavyotengeneza banda kisasa ili kuku wakae ?. Vita kali dhidi ya atheist Ep2

    Mkuu kiranga unamdhihirisha kwa P h a r a o h kuwa unajificha kwenye kichaka cha vimisemo vya kingereza, umekomalia sana hiyo anthropic bias. wewe kidogo tu unaanza ku outsmart wenzako mara unajua athropic bias ni nini? wakikukabia kwa juu "Straight to my ignore list" Sisi hatujui tujulishe...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ulimwengu Umeundwa Mahususi kwaajili ya ku support Uhai kama mtu anavyotengeneza banda kisasa ili kuku wakae ?. Vita kali dhidi ya atheist Ep2

    kiranga amekariri majibu yake kwa miaka yote. Hata uje na utofauti yeye anaganda humo kwenye "Mungu mujuzi wa yote, mwenye uwezo wote na blah blah zake" kiranga, anaamini Anajua mengi ya kiulimwengu na anaamini yanamtosheleza kwaiyo hataki ya ziada (closed minded) huwezi kuweka hoja na mtu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Tusife moyo tutapata michongo ya kueleweka hapahapa. Huu uzi una kitu tutie kambi.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    poyeee
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Seran ukikutana na kazi ya pharmacy technician naomba unitag please. Bila kuchoka.
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishakutana na mwanamke wa hivi?

    Nshawai kukutana nae huyo...
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta atakayenifaa maishani

    Unatumia muda kujuana na kumzoea mtu?
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta atakayenifaa maishani

    Sasa mbona Pm imefungwa Ms R, Napata mashaka na utayari wako.
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta atakayenifaa maishani

    unataka umuongeze na min -me?
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta atakayenifaa maishani

    Nitakupa akili mbili, moja ya kunipenda mimi tu na moja ya kuwakataa mahuni wa Jf. hizo si zinatosha...
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta atakayenifaa maishani

    Karibu Ms R
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta atakayenifaa maishani

    Usiwaze sana zamu yako itafika na wewe utachanhanyikiwa
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta atakayenifaa maishani

    Mkuu, wewe unashauri anipe nafasi wapi, moyoni au rohoni😂😂
Back
Top Bottom