Recent content by Akili Biyengo

  1. Akili Biyengo

    SoC04 Tanzania tuitakayo ni ile uwiano wa kisiasa na kiuchumi

    Napenda kutoa ponzi na shukrani kwa uongozi wa jamiiForums kisha natoa salam kwa watanzania wenznagu pamoja na viongozi wetu,hakika Mungu atuzidishie afya. Hakika kwa mtazamo wangu.Tanzania tuitakayo ni ile yenye uwiano wa kisiasa na kiuchumi. Haya ndiyo mambo makuu yatkayobadilisha hali ya...
  2. Akili Biyengo

    Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

    Hapo ndio mjue dunia ina siri na sisi tunatumika
  3. Akili Biyengo

    Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

    Okay nilitaka kukujibu kwa hoja ila umemaliza vizuri..tuendelee kuishi na imani zetu maana hata hizi dini ni tofauti na imani za mababu zetu ni vile hatujui tmetupwa kwenye uwanja wa masbindano tusiyoyajua ila imani zetu ndizozitatuokoa kutoka katika vita na mashindano ya mataifa. Niwaachie...
  4. Akili Biyengo

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Kumbe hujui hapo panatakiwa kuwa New York Tz nina bi mkubwa huko ni mstaafu alinidokeza soon narudi tena kushangaa hiyo mitaa
  5. Akili Biyengo

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Kwakuwa ushafichua siri zao basi ongeza nguvu ya imani wasikufikie
  6. Akili Biyengo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndugu zangu odds 3 x 10k per day save 20k per day earn 600k per month PLAY THIS MARKETS 1X2 DOUBLE CHANCE GOALS utakuja kunishukru or contact with me WhatsApp only 0753701154 (sisikii vizuri so don't call)
  7. Akili Biyengo

    Hydro- Geology and Water-Well Drilling vs Water Supply and Sanitation Engineering

    Ahsante sana kwa ushauri maelezo yaliyoshiba,ubarikiwe
  8. Akili Biyengo

    Hydro- Geology and Water-Well Drilling vs Water Supply and Sanitation Engineering

    Habari ndugu zangu, Wenye ujuzi hapo juu naombeni kufahamu niende kozi ipi kati ya hizo mbele hasa yenye ajira na ujira kwa nchi yetu hii. Nitashukru kama nitapata ufafanuzi mzuri
  9. Akili Biyengo

    MTFE PROJECT

    Nasemaje,no profit from online platform other Wait
  10. Akili Biyengo

    Wenye ufahamu kozi ipi nzuri

    Ndugu zangu mliowahi kusoma, wenye uelewa na ufahamu mnisaidie kozi ipi inalipa sana na ajira bora kati ya Marine & Refrigration engineering na water suppy & sanitation engineering.
Back
Top Bottom