Recent content by Aki The Great

  1. A

    Abdulrahman Shimbo ateuliwa na Rais Kikwete kuwa Balozi wa Tanzania nchini China!

    Makubwa sana, mie sina king'amuzi lakini haijanishitua, hivi ndivyo mambo yalivyo nchi hii, ni watu wasiozidi 30 wanatuhangaisha akili. Let us all act now! Freedom now, freedom for our lifetime
  2. A

    Hivi mnafahamu kwamba ardhi ya Tanzania kwenye kilimo inatumika kwa asilimia 15 tu? Tunakwenda wapi?

    Wadau nimeona nipost thread yangu hii ili tuweze kuwa na uwanja mpana zaidi wa kujadili mambo kadhaa ya nchi yetu hasa suala la Kilimo na uchumi wa nchi yetu. Ninapata shida sana baada ya kubaini kwamba tumekuwa na matumizi hafifu sana ya ardhi yetu kwanye uzalishaji wa chakula hasa mahindi na...
  3. A

    Mh. Membe atoa kauli nzito Bungeni kuhusu Malawi!

    Malawi wakitunyang'anya ziwa basi na CCM itafute pa kwenda
  4. A

    Mh. Membe atoa kauli nzito Bungeni kuhusu Malawi!

    Bahati nzuri mie nilikuwa Kyera majuzi, ni kweli kuna movement kubwa sana za makampuni yanayotafuta mafuta na gesi ziwani Nyasa, kwa kifupi Malawi wanadai hawatakubali katu kuachia ziwa hili, kama ni gesi Tanzania iko nyingi tu baharini na nchi kavu eti tuache kuwaganda na kuwasumbua. Katika...
  5. A

    Watanzania msiipigie kura CHADEMA 2015

    Makubwa! Huyu katoka wapi tena? anaweza akawa sahihi kwamba CDM wasipewe kura hata TLP je?
  6. A

    Mliotamani chama kipya, jiungeni na ADC!

    Kuna hoja kwamba ADC ni mali ya CCM madai ya Mtatiro na yakathibitishwa na Nape, sasa sioni uhai wa muda mrefu au niseme uendelevu wa ADC, kama kweli alichosema Nape ni sahihi. Vinginevyo nawatakia kila la kheri ADC, wapate usajili wa muda na hatimaye usajili wa kudumu. Ila kupitia katiba mpya...
  7. A

    Mliotamani chama kipya, jiungeni na ADC!

    Mabadiliko tunayoyataka tunayafahamu? Humu JF kuna ushabiki wa kijinga jinga tu, Yesu na CHADEMA wapi na wapi? ndiyo maana watu hawaishi kuwaambia chama chenu kina udini na ukabila mwingi! Msilazimishe hoja uzeni sera na itikadi yenu kama ipo, watu watawaelewa tu. ila mkileta mambo ya Yesu humu...
  8. A

    Mliotamani chama kipya, jiungeni na ADC!

    Mayage S. Mayage ni Mwandishi makini anayejituma na sasa ni Editor wa anika Ukweli, makanjanja wako pale nje ya maelezo hata hawana ofisi kwa kuwa hawaaminiki. Lakini hata kama aliandika tatizo liko wapi, kama katabiri vyema anguko liko kama siyo sisi tukaze buti atatukuta mbinguni
  9. A

    Mliotamani chama kipya, jiungeni na ADC!

    Hamachi kuitaja CCK humu? ADC hata haina usajili wa muda! hicho siyo chama bado ni movement tu mpka kipate usajili wa kudumu, halafu watu wasiogope vyama, kwa kuwa vile vya mpito vitapita lakini vyenye malengo thabiti vitadumu
  10. A

    Arumeru Mashariki, CHADEMA kunyakua jimbo?

    Janvini humu kuna mambo ya kitoto sana, mna cheka cheka tu humu! Sitta mara Nassari mara Mwakyembe, Mnafahamu kiwanda cha Urafiki kimekufa? siasa zimewaharibu watanzania na hata magazeti yenu muda wote ni siasa tu mara utakuta Sitta amesema, mara Zitto kasema mara Pinda kasema, basi mmeishia...
  11. A

    TAKUKURU; Lowassa Kawakosea nini?

    Ningekuwa Rais kwa dakika kumi tu ningeisambaratisha TAKUKURU, hawa jamaa ni mdebwedo kabisa, mahakamni tunalizwa rushwa kila siku, haki hazipatikani wako wapi? Upuuzi mkubwa huu, siko moja nilikimbilia TAKUKURU kuomba msaada hakimu anataka rushwa, tena hakimu akawa amenipigia mpaka namwambia...
  12. A

    Madaktari kukutana kesho kufanya tathmini ya makubaliano na serikali, kuna harufu ya mgomo kuendelea

    Madaktari wametimiza wajibu wao, serikali iwape haki zao. Nasema jambo moja tu hapa ni kwamba for the first time hapa nchini endapo serikali itawashiti tutafanya kitu cha ziada na ni dalili njema kuelekea kwenye kuheshimiana. wenzetu Kenya hapo hawana utajiri kama tulionao sisi hapa uchumi wao...
  13. A

    Lowassa aisambaratisha Kamati kuu ya CCM, Nape hoi, Mswekwa atokea mlango wa uwani, Chiligati kwisha

    Wapinzani changamkieni jimbo hilo, ili CCM izidi kupotea kwenye ramani ya dunia
  14. A

    Lowassa aisambaratisha Kamati kuu ya CCM, Nape hoi, Mswekwa atokea mlango wa uwani, Chiligati kwisha

    Maskini Tanzania, ndo tumekuwa hivi kweli? Simsikitikii Nape wala yule hasimu wake Lowassa, bali maumivu wanayoyapata Watanzania kutokana na janja ya viongozi na hasa chama kilichoko madarakani, juzi nilikwenda sokoni na shilingi laki mbili nikaishia kupata vitu kiduchu kwenye kamfuko ka rambo...
  15. A

    Lowassa aisambaratisha Kamati kuu ya CCM, Nape hoi, Mswekwa atokea mlango wa uwani, Chiligati kwisha

    Hizi siasa zetu Bongo ni hobela hobela, mie si mpenzi wa CCM wala CDM, ila ninachokijua ni kwamba kama kweli CCM ilikuwa haimtaki Sioi CC ingeweza kuondosha jina lake moja kwa moja, nadhani ni suala la demokrasia tu lilitumika, nafurahi kuona kwamba uchaguzi huu utakuwa vuta nikuvute, otherwise...
Back
Top Bottom