Mliotamani chama kipya, jiungeni na ADC!

Nani kakwambia anguko la CHADEMA limeshindikana? Kuanguka kwa chama is a process, mwaka 1995 nani aliamini kuwa NCCR ya Mrema ingeangukia pua? Miaka michache iliyopita nani aliamini kuwa CUF itasambaratika?

It is only a matter of time hasa pale kampuni litakapokataa kubadili uongozi wake wa juu waliojihakikishia kuwa wao ndio wamiliki wa kampuni la CHADEMA.

Mr vag nal, kuanguka kwa itikadi kunategemea na nini ni msingi wa hiyo itikadi. Huwezi kulinganisha CUF, NCCR na CDM. NCCR ilikuwa ni mlipuko wa ushabiki, chama kilianzishwa na kukurupukiwa na wengi kwa ushabiki wa Mrema mrema mrema. CUF ni mkusanyiko wa watu wenye itikadi ya kidini na sera za kujaribu kubalasisha jambo fulani ambalo wao wanaamini haliko sawa, kilianza na kupigiwa chapuo na kuwa kipenzi cha watu duni wasio na uelewa.

CDM kwa upande mwingine ni genge la wasomi na wanaharakati ambao itikadi yao ni mageuzi. Kwa ulinganifu wa kiitikadi wa vyama hivi huwezi kukadiria anguko linalofanana kwani mawazo ya uasisi wake hayafanani.
 
ADC ni chama kilichokuja kurudisha matumaini ya Watanzania kuhusu mabadiliko ya nchi baada ya vyama vingine vyote vya Upinzani kushindwa kutimiza malengo ya kuwakomboa Watanzania.
Karibuni ADC - Dira ya Mabadiliko, Mkombozi wa Kweli wa Watanzania.

Safi sana bwana Hamad Rashid na chama chako
 
Kuna watu ambao siku zote walikuwa wanaombea kianzishwe chama kipya eti chadema hakiwezi kudumu na hakina uwezo wa kuwa chama cha siasa mmoja kati ya hao ni Mwandishi wa Raia mwema ambae aliandika karibu Makala tano hivi zote ni majungu dhidi ya chadema huku akitaka kianzishwe chama kipya.

Japo kuwa lengo lao kuu la Anguko la chadema limeshindikana lakini lengo lao la kuanzishwa vyama vipya limetimia kwani kuna ADC na CCK nahisi wanaweza kwenda hata kugombea Uenyekiti au ukaitibu mkuu huko badala ya kila siku kuamkia kwenye mitandao nakuongea utumbo dhidi ya chadema kwani mmechelewa sana , kugundua kuwa chadema ni chama makini.

Kwanini chadema mmekua mkifanya jitihada za makusudi tena kwa nguvu zote kuhakikisha hakuna chama kipya kinazaliwa??mnaogopa nini kwani?
 
Mr vag nal, kuanguka kwa itikadi kunategemea na nini ni msingi wa hiyo itikadi. Huwezi kulinganisha CUF, NCCR na CDM. NCCR ilikuwa ni mlipuko wa ushabiki, chama kilianzishwa na kukurupukiwa na wengi kwa ushabiki wa Mrema mrema mrema. CUF ni mkusanyiko wa watu wenye itikadi ya kidini na sera za kujaribu kubalasisha jambo fulani ambalo wao wanaamini haliko sawa, kilianza na kupigiwa chapuo na kuwa kipenzi cha watu duni wasio na uelewa.

CDM kwa upande mwingine ni genge la wasomi na wanaharakati ambao itikadi yao ni mageuzi. Kwa ulinganifu wa kiitikadi wa vyama hivi huwezi kukadiria anguko linalofanana kwani mawazo ya uasisi wake hayafanani.

Chadema = ni genge la watu wenye malengo kuleta ukombozi kupitia kwa yesu kristo ...ni marafiki wakubwa christian democratic party ya ujerumani..(source of their aspirations)
 
Vyama vya nini wewe? sisi tusio na vyama tunataka turuhusiwe kugombea bila chama, msituzinguwe.

Raisi wa 2015 hatoki chama chochote. Tena kama aliwahi kuwa mwanachama wa chama chochote kile hatumchagui. Bora tumchaguwe David Cameron aje kutuongoza huku, kwishnei. Miafrika toka lini ikajuwa kutawala? miongo mtindo mmoja, yenyewe kula, kunywa, kucheza.
 
Ni ujinga na upunguani wa akili kufikiria kujiunga na chama kisichojulikana kwa sera zake,uongozi wake ,itikadi zake .eti tujiunge na adc ? Hii adc na cuf si ndo walewale touti ni majina,ninachojua mimi ni kuwa cuf lilikuwa jina la utoto na sasa wamekua na kujiita adc.
 
Chadema = ni genge la watu wenye malengo kuleta ukombozi kupitia kwa yesu kristo ...ni marafiki wakubwa christian democratic party ya ujerumani..(source of their aspirations)

Blah blah blah. Don't you have something new to say? Atleast uchangie kuhusu topic ambayo inahusu chama kipya, ADC!! Ahsante
 
Vyama vya nini wewe? sisi tusio na vyama tunataka turuhusiwe kugombea bila chama, msituzinguwe.

Raisi wa 2015 hatoki chama chochote. Tena kama aliwahi kuwa mwanachama wa chama chochote kile hatumchagui. Bora tumchaguwe David Cameron aje kutuongoza huku, kwishnei. Miafrika toka lini ikajuwa kutawala? miongo mtindo mmoja, yenyewe kula, kunywa, kucheza.
Naona unamtaja taja mtetezi wenu!
 
Mr vag nal, kuanguka kwa itikadi kunategemea na nini ni msingi wa hiyo itikadi. Huwezi kulinganisha CUF, NCCR na CDM. NCCR ilikuwa ni mlipuko wa ushabiki, chama kilianzishwa na kukurupukiwa na wengi kwa ushabiki wa Mrema mrema mrema. CUF ni mkusanyiko wa watu wenye itikadi ya kidini na sera za kujaribu kubalasisha jambo fulani ambalo wao wanaamini haliko sawa, kilianza na kupigiwa chapuo na kuwa kipenzi cha watu duni wasio na uelewa.

CDM kwa upande mwingine ni genge la wasomi na wanaharakati ambao itikadi yao ni mageuzi. Kwa ulinganifu wa kiitikadi wa vyama hivi huwezi kukadiria anguko linalofanana kwani mawazo ya uasisi wake hayafanani.

Nakubali CUF wengi wao hawana ufahamu
 
CUF B hiyo baada ya CUF original...wana siasa wameanza kuiga mtindo wa bendi za kizaire
 
ADC ni chama kilichokuja kurudisha matumaini ya Watanzania kuhusu mabadiliko ya nchi baada ya vyama vingine vyote vya Upinzani kushindwa kutimiza malengo ya kuwakomboa Watanzania.
Karibuni ADC - Dira ya Mabadiliko, Mkombozi wa Kweli wa Watanzania.

Chama cha siasa huaongozwa na sera na hivyo kukubalika kwake kutatokana na sera zake...inashangaza unapoanza kuwahamasisha watu kujiunga na chama ambacho bado hakijafunguka. Sasa wanajiunga nacho ili kufanya nini? Hapo ndipo unapoona jinsi wananchi wanachakachuliwa! ooooooh! sasa naelewa! Ndio maana wale wanaotoka KAFU wanasema bado hawajaamua wanaenda wapiiiiii! kwa vile wanangoja Mzee Tendwa awaruhusu! Doh! Kazi kweli kweli! Kwa hiyo hili ni tangazo "soon will be open" eeeh! Haya Hasan124
 
CDM kwa upande mwingine ni genge
la wasomi na wanaharakati ambao
itikadi yao ni mageuzi.
Kwa mtindo huo ndo litakuwa mwanzo wa anguko, asilimia kubwa ya Watanzania hawajaenda shule na ndio wapigaji wakubwa wa kura, kwa mtindo huo nadhani CCM itaendelea kukaa madarakani.
 
ADC haina dini? Adc imeanzishwa baada ya kuchoshwa na CUF; je yenyewe ADC haitakuja kuwachosha? tutajuaje?
 
Kuna watu ambao siku zote walikuwa wanaombea kianzishwe chama kipya eti chadema hakiwezi kudumu na hakina uwezo wa kuwa chama cha siasa mmoja kati ya hao ni Mwandishi wa Raia mwema ambae aliandika karibu Makala tano hivi zote ni majungu dhidi ya chadema huku akitaka kianzishwe chama kipya.

Japo kuwa lengo lao kuu la Anguko la chadema limeshindikana lakini lengo lao la kuanzishwa vyama vipya limetimia kwani kuna ADC na CCK nahisi wanaweza kwenda hata kugombea Uenyekiti au ukaitibu mkuu huko badala ya kila siku kuamkia kwenye mitandao nakuongea utumbo dhidi ya chadema kwani mmechelewa sana , kugundua kuwa chadema ni chama makini.

Hamachi kuitaja CCK humu? ADC hata haina usajili wa muda! hicho siyo chama bado ni movement tu mpka kipate usajili wa kudumu, halafu watu wasiogope vyama, kwa kuwa vile vya mpito vitapita lakini vyenye malengo thabiti vitadumu
 
Huyo mwandishi kanjanja anaitwa Mayage S. Mayage

Mayage S. Mayage ni Mwandishi makini anayejituma na sasa ni Editor wa anika Ukweli, makanjanja wako pale nje ya maelezo hata hawana ofisi kwa kuwa hawaaminiki. Lakini hata kama aliandika tatizo liko wapi, kama katabiri vyema anguko liko kama siyo sisi tukaze buti atatukuta mbinguni
 
Blah blah blah. Don't you have something new to say? Atleast uchangie kuhusu topic ambayo inahusu chama kipya, ADC!! Ahsante

Mabadiliko tunayoyataka tunayafahamu? Humu JF kuna ushabiki wa kijinga jinga tu, Yesu na CHADEMA wapi na wapi? ndiyo maana watu hawaishi kuwaambia chama chenu kina udini na ukabila mwingi! Msilazimishe hoja uzeni sera na itikadi yenu kama ipo, watu watawaelewa tu. ila mkileta mambo ya Yesu humu hatutawaelewa!
 
Kuna hoja kwamba ADC ni mali ya CCM madai ya Mtatiro na yakathibitishwa na Nape, sasa sioni uhai wa muda mrefu au niseme uendelevu wa ADC, kama kweli alichosema Nape ni sahihi. Vinginevyo nawatakia kila la kheri ADC, wapate usajili wa muda na hatimaye usajili wa kudumu. Ila kupitia katiba mpya tunaendelea kupigania haki ya mgombea binafsi, maana vyama hivi vimejaa mcharuko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom