Sote ni Waafrika kwanini tunachochea chuki, mambo ya Watusi na wahutu, Watanzania ni makini ubaguzi wanini? Tujadili mambo makini, Kama Rwanda kunawatu makini tujifunze kutoka kwao, tuache chuki siku zote chuki inaanzishwa na watu wachache, amani ndiyo msingi wa maendeleo.Watusi na wahutu ni...